Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Nimezungumzia hao matalelihili nalo linataka uzazi wa mpango?
Hyo hela ya kuwekeza wamepata wapi?
hao Wana hela za kuchezea ndo maana wanazitumia.mchana sijala unaniambia nikawekeze kalyinda nitakuelewa,?
Wanapenda kutapeliwa.acha watapeliwe.hata hivyo mwenye hela ndiye anayetapeliwa kama hela huna hauwezi kutapeliwaNimezungumzia hao mataleli
Nchi imefunguliwa jamani wakamatwe ili iweje? Na serikali haitaki kunyang'anya wafanyabishara pesa zao kama alivyokuwa anafanya Shetani Simba wa Yuda, Wafanyabishara wasibunguziwe wafanyabishara hawamu ya 5 walifunga biashara zao na kukimbia sasa.Akamatwe huyo admin, mana bado yupo kazini, analipwa na nani
Pesa zote kama Serikali inaziacha bure na kwenda kuomba omba kwa wazungu, Tutamkubuka DDP Biswalo mganga.App imekuwa download na watu Laki 1
Watu Laki 1 * 20000( kiwango Cha chini Cha kuwekeza )
Zaidi ya Bilioni 2 zimeibiwa
wale wenye asili ya hong kong huwa na majina ya kikristo na surnames za kichina.Ulishasikia wapi mchina anaitwa Thomas?
Wacha kebehi zako hizo, hao siyo wafanyabiashara wala usiwalinganishe na wale waliokuwa na biashara zao halali hapa nchiniNchi imefunguliwa jamani wakamatwe ili iweje? Na serikali haitaki kunyang'anya wafanyabishara pesa zao kama alivyokuwa anafanya Shetani Simba wa Yuda, Wafanyabishara wasibunguziwe wafanyabishara hawamu ya 5 walifunga biashara zao na kukimbia sasa.
Thomas siyo mchinawale wenye asili ya hong kong huwa na majina ya kikristo na surnames za kichina.
Aisee hii Thomas kwa mtu yoyote mwenye ku-reason ilipaswa kuww kengele ya kwanza kichwani.wale wenye asili ya hong kong huwa na majina ya kikristo na surnames za kichina.
Afu jamaa ni wabish sanaa acha wapigwe...ukiwauliza hizo asilimia unazopewa kila siku zinatokana na mzunguko gan wa hela yako hawana majibu...hasa waalimu ndo waanga wakubwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila mlikuwa wabishi mkiambiwa ukweli, poleni hili nalo litapita kama la Masanja
Mungu huwa hajihusishi na mambo yatokanayo na ujinga wa kujitakia.Nyie viongozi wa KALYNDA popote mlipo,,
Nawaambieni ,,
MUNGU ATAAMUA UGOMVI
Jasho letu haliwezi kwenda bure.
Boya wewe mliambiwa mkajifanya wajuajiNyie viongozi wa KALYNDA popote mlipo,,
Nawaambieni ,,
MUNGU ATAAMUA UGOMVI
Jasho letu haliwezi kwenda bure.
Usijilinganishe na Ulaya...Kadri wasomi wanavyokosa kipato cha uhakika, ndivyo uhalifu uongezeka. Idadi ya watu kubwa, uchumi wa nchi mdogo. Africa kuna shida kubwa sana. Tufanye uzazi wa mpango kama Ulaya.
MtelezoNyie viongozi wa KALYNDA popote mlipo,,
Nawaambieni ,,
MUNGU ATAAMUA UGOMVI
Jasho letu haliwezi kwenda bure.