Kama 99.9% ya Viongozi wa Dodoma Jiji FC akina Mbunge Mavunde na Kunambi ni Yanga SC lia lia, leo mnategemea kabisa Yanga SC isishinde Goli nyingi?

Mkuu we ni nabii Dodoma jiji wameuza mechi jana.
Ila mi huwa nafurahi kwa incidents kama hzi timu inauza mechi ikija kushtuka iko mkiani. Wawaulize biashara na kagera wako waapi sahizi.
 
Kala ban tena na account hii. Huyu mtu JF imeshamshinda maana hawezi kufuata utaratibu
Ana matatizo ya akili huyu jamaa.

1: Ana tabia ya kushindana, ukionekana kumpinga kihoja anakutukana
2: Anataka JF na dunia nzima aonekane yeye ndiye mwenye akili kuliko wote
3: Hana rafiki, ukimkosoa kwa nia njema tu, anasahau kama ulikua unamsifia siku zote, anakutukana
4: Anashindwa kabisa kubadili aina yake ya uandishi ili watu wasimgundue
5: Hana jipya, mada zake ni zilezile za aina moja. Namfananisha na dada mmoja wa facebook, Hawa Simba Kibiti, anataka kuonekana ana akili kuliko wote, kila siku mada za aina moja halafu kichwani hakuna kitu.
 

Foolish, uliona mpira uliochezwa na Yanga?
 
Kwa taarifa yako M/kiti na makamu wake wa Dodoma Jiji FC ni makolo kulia lia
 
Aisee hiyo namba 3 nimetoka kushuhudia jana tu kwenye uzi huu huu dhidi ya mwanamsimbazi mwenzio Scars yaani jamaa akajishusha kisha akamsifia na kuweka mwendelezo wa mazungumzo kwa hoja akitegemea atajibiwa kwa hoja aisee Kilichomkuta mbeleni ni kujibiwa matusi tu.
 
Huyo jamaa haelewi zama zimebadilika siku hizi matusi sio silaha tena ya kuitegemea kuitumia kwa lengo la kumkasirisha mtu wakati saizi matusi yamekuwa yakitumika kutolea hadi pongezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…