Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana matatizo ya akili huyu jamaa.Kala ban tena na account hii. Huyu mtu JF imeshamshinda maana hawezi kufuata utaratibu
Tayari kaishakula umemeKama kuna tuzo za wapigwa ban bora basi wewe unaongoza. Na kwa tuzo za kuwa na ID nyingi basi unashika nambari moja
Dodoma Jiji FC kabla ya Kucheza na Simba SC kuanzia Msemaji wao, Mlezi wao Mkuu na Mbinge Antony Mavunde hadi Kiongozi wao Mwandamizi Kunambi walikuwa mara kwa mara wakizungumza, wakiitishia Simba SC huku wakiikamia ile mbaya Mechi husika.
Je, mmeshajiuliza ni kwanini Viongozi hawa hawa niliowataja hapa kuelekea Mechi yao ya Leo dhidi ya Yanga SC wamekaa Kimya na hata Mbunge Mavunde hajatoa Ahadi yake ya Pesa Tsh Milioni 10 au 20 kwa Wachezaji wa Dodoma Jiji FC kama ambavyo aliwaahidi kipindi kile wanacheza na Simba SC pale Jamhuri Stadium Dodoma?
Nawapa Pole wale Wote ambao mnadhani na Kujidanganya kuwa leo Yanga SC itafungwa au itatoka Sare na Tawi lake la Dodoma Jiji FC Mkapa Stadium ila kwa Watu wa Mpira tunajua leo Dodoma Jiji FC anaenda kugawa Takrima ya Kalamu ya Magoli kwa Yanga SC ili waiache mbali Simba SC kwa idadi Kubwa ya Magoli kwani mwendo wa Simba SC wa zile Goli 4 zilizoanza kwa KMC FC zimeitisha.
GSM natumai kuwa mmeshamaliza Kazi.
Ni Popoma?Tayari kaishakula umeme
Kwa taarifa yako M/kiti na makamu wake wa Dodoma Jiji FC ni makolo kulia liaDodoma Jiji FC kabla ya Kucheza na Simba SC kuanzia Msemaji wao, Mlezi wao Mkuu na Mbinge Antony Mavunde hadi Kiongozi wao Mwandamizi Kunambi walikuwa mara kwa mara wakizungumza, wakiitishia Simba SC huku wakiikamia ile mbaya Mechi husika.
Je, mmeshajiuliza ni kwanini Viongozi hawa hawa niliowataja hapa kuelekea Mechi yao ya Leo dhidi ya Yanga SC wamekaa Kimya na hata Mbunge Mavunde hajatoa Ahadi yake ya Pesa Tsh Milioni 10 au 20 kwa Wachezaji wa Dodoma Jiji FC kama ambavyo aliwaahidi kipindi kile wanacheza na Simba SC pale Jamhuri Stadium Dodoma?
Nawapa Pole wale Wote ambao mnadhani na Kujidanganya kuwa leo Yanga SC itafungwa au itatoka Sare na Tawi lake la Dodoma Jiji FC Mkapa Stadium ila kwa Watu wa Mpira tunajua leo Dodoma Jiji FC anaenda kugawa Takrima ya Kalamu ya Magoli kwa Yanga SC ili waiache mbali Simba SC kwa idadi Kubwa ya Magoli kwani mwendo wa Simba SC wa zile Goli 4 zilizoanza kwa KMC FC zimeitisha.
GSM natumai kuwa mmeshamaliza Kazi.
Aisee hiyo namba 3 nimetoka kushuhudia jana tu kwenye uzi huu huu dhidi ya mwanamsimbazi mwenzio Scars yaani jamaa akajishusha kisha akamsifia na kuweka mwendelezo wa mazungumzo kwa hoja akitegemea atajibiwa kwa hoja aisee Kilichomkuta mbeleni ni kujibiwa matusi tu.Ana matatizo ya akili huyu jamaa.
1: Ana tabia ya kushindana, ukionekana kumpinga kihoja anakutukana
2: Anataka JF na dunia nzima aonekane yeye ndiye mwenye akili kuliko wote
3: Hana rafiki, ukimkosoa kwa nia njema tu, anasahau kama ulikua unamsifia siku zote, anakutukana
4: Anashindwa kabisa kubadili aina yake ya uandishi ili watu wasimgundue
5: Hana jipya, mada zake ni zilezile za aina moja. Namfananisha na dada mmoja wa facebook, Hawa Simba Kibiti, anataka kuonekana ana akili kuliko wote, kila siku mada za aina moja halafu kichwani hakuna kitu.
Huyo jamaa haelewi zama zimebadilika siku hizi matusi sio silaha tena ya kuitegemea kuitumia kwa lengo la kumkasirisha mtu wakati saizi matusi yamekuwa yakitumika kutolea hadi pongeziAisee hiyo namba 3 nimetoka kushuhudia jana tu kwenye uzi huu huu dhidi ya mwanamsimbazi mwenzio Scars yaani jamaa akajishusha kisha akamsifia na kuweka mwendelezo wa mazungumzo kwa hoja akitegemea atajibiwa kwa hoja aisee Kilichomkuta mbeleni ni kujibiwa matusi tu.
SIJAWATAJA RIVERS MIMIkweli kabisa maana rivers united mlimchabanga nje ndani
hatuna shida nao maana tuliwafunga kwao wakatufunga kwetuSIJAWATAJA RIVERS MIMI
JWANENG GALAXY ANAWASALIMIA
OKAYhatuna shida nao maana tuliwafunga kwao wakatufunga kwetu