Sijaona ubora wa Yanga Zaid Ni timu ya kawaida tu Kama zilivyo Mbeya city.
Timu inkuaje Bora inapigwa nje ndan na River?
Ubora wa timu uonekane hata nje ya tz .
Fei anaimbwa Sana hapa tz Ila akikutana na timu za nje ya tz haonekan kabisa Wala anakua Hana uwezo wa kuibeba timu began kwake alafu ajab watz wankwambia fei alipaswa acheze Ulaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ili ujue wewe Ni Bora lazima ukutane na walio Bora na uwakazie au ikiwezekana uwafunge,.
Simba katokewa club bingwa na Galaxy lain hajatoka kinyonge ,kamfunga Galaxy kwao na yeye Galaxy kamfunga Simba kwao ,Sasa uto nje ndan kipigo alafu unajiita wewe Ni Bora ,Bora kwa lipi?