Kama 99.9% ya Viongozi wa Dodoma Jiji FC akina Mbunge Mavunde na Kunambi ni Yanga SC lia lia, leo mnategemea kabisa Yanga SC isishinde Goli nyingi?

Sijaona ubora wa Yanga Zaid Ni timu ya kawaida tu Kama zilivyo Mbeya city.
Timu inkuaje Bora inapigwa nje ndan na River?
Ubora wa timu uonekane hata nje ya tz .
Fei anaimbwa Sana hapa tz Ila akikutana na timu za nje ya tz haonekan kabisa Wala anakua Hana uwezo wa kuibeba timu began kwake alafu ajab watz wankwambia fei alipaswa acheze Ulaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ili ujue wewe Ni Bora lazima ukutane na walio Bora na uwakazie au ikiwezekana uwafunge,.
Simba katokewa club bingwa na Galaxy lain hajatoka kinyonge ,kamfunga Galaxy kwao na yeye Galaxy kamfunga Simba kwao ,Sasa uto nje ndan kipigo alafu unajiita wewe Ni Bora ,Bora kwa lipi?
masikini wee unajifariji pole sana, punguza makasiriko😆😆😆
 
Swala ni ujumbe wake,, na alichokiandika ni ukweli mtupu,, mbona yule mbunge leo hatumsikii kama ilivyokuwa game na simba,, lkn naona michango mingi humu inamshambulia mleta uzi eti ana I'd nyingi
 
Sijaona ubora wa Yanga Zaid Ni timu ya kawaida tu Kama zilivyo Mbeya city.
Timu inkuaje Bora inapigwa nje ndan na River?
Ubora wa timu uonekane hata nje ya tz .
Fei anaimbwa Sana hapa tz Ila akikutana na timu za nje ya tz haonekan kabisa Wala anakua Hana uwezo wa kuibeba timu began kwake alafu ajab watz wankwambia fei alipaswa acheze Ulaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ili ujue wewe Ni Bora lazima ukutane na walio Bora na uwakazie au ikiwezekana uwafunge,.
Simba katokewa club bingwa na Galaxy lain hajatoka kinyonge ,kamfunga Galaxy kwao na yeye Galaxy kamfunga Simba kwao ,Sasa uto nje ndan kipigo alafu unajiita wewe Ni Bora ,Bora kwa lipi?
Mkuu naomba kuzungumzia hilo la kupigwa nje ndani na Rivers.

Fikiria vyema je aina ya kikosi cha Yanga kilichocheza na Rivers. Hakuwepo Aucho, hakuwepo Mayele, hakuwepo Djuma Shabani.
Halafu timu haikuwa na muanguniko, tofauti na sasa. Hao Rivers wangekutana na Yanga kwa wakati huu wasingeweza kuitoa Yanga
 
Too late bro mlishatolewa... mambo ya kusema timu ilikuwa haina muunganiko..ujue yanga ina zaidi ya miaka 80?.mtaendelea kuwa hivohivyo miaka yote!!
 
Mkuu naomba kuzungumzia hilo la kupigwa nje ndani na Rivers.

Fikiria vyema je aina ya kikosi cha Yanga kilichocheza na Rivers. Hakuwepo Aucho, hakuwepo Mayele, hakuwepo Djuma Shabani.
Halafu timu haikuwa na muanguniko, tofauti na sasa. Hao Rivers wangekutana na Yanga kwa wakati huu wasingeweza kuitoa Yanga
Kwahiyo Simba alipotolewa na Galaxy alikua na muunganiko?
Swala hapa Ni kebehi zenu kwa Simba kuwa Ni timu ya kawaida maana ilitolewa na makirikiri ndipo nasisi tunawajibu kuwa mlitolewa na River Tena kwa kipigo Cha nje ndani.
So bado mna Deni la kutuprove wrong mwenye michezo ya kimataifa ,msimu huu mmefeli vibaya na mkubal Hilo pia.
Ukisema hakwepo Khalid sijui Djuma ,vipi ushajiuliza River wao Nan hakwepo wakat huo na saiz wapo akina Nan?
 
Simba iliyotolewa na Galaxy haipaswi kulaumu kuwa hawana muunganiko kwasababu Simba walitumia muda mwingi sana katika kufanya maandalizi ya timu. Kaweka kambi Morocco muda mrefu halafu akacheza mechi mbili za kirafiki na timu za Morocco. Hakuishia hapo kaenda kuweka kambi Arusha na kucheza mechi moja na eagle noir ya Burundi kisha mechi kadhaa na timu za hapa hapa Tanzania.
 
Pimbi ww nyie mnaoharibu mpira wetu, yaan Yanga ipo vizur lkn unàandika hizi takataka ili upate nn? Ww pimbi unakatwa na popo bawa
 
Simba iliyotolewa na Galaxy haipaswi kulaumu kuwa hawana muunganiko kwasababu Simba walitumia muda mwingi sana katika kufanya maandalizi ya timu. Kaweka kambi Morocco muda mrefu halafu akacheza mechi mbili za kirafiki na timu za Morocco. Hakuishia hapo kaenda kuweka kambi Arusha na kucheza mechi moja na eagle noir ya Burundi kisha mechi kadhaa na timu za hapa hapa Tanzania.
Kipi kiliwazuia yanga wasifanye hayo uliyoyasema hapa ? Au unataka kuniambia wao hawakujua kua Kuna club bingwa?
 
Achana na stori za rivers utd ambazo ata wachezaji wamesahau. waza kuhusu azam na kagera sugar pia tathmini namba 10 wenu anagoli ngapi pamoja na winga zenu afu njoo ujisifie hapa mpira sio porojo mkuu...
 
Kipi kiliwazuia yanga wasifanye hayo uliyoyasema hapa ? Au unataka kuniambia wao hawakujua kua Kuna club bingwa?
Waendeshaji wa timu walikosa uweledi kuchanga karata kwenye klabu bingwa
 
Kwa hiyo Si -mbwa kuifunga magoli manne KMC walitoa zawadi ya magoli ili kuiacha Yanga ? Wewe mleta mada unafokonyolewa mtalo.
 
Kala ban tena na account hii. Huyu mtu JF imeshamshinda maana hawezi kufuata utaratibu
 
Back
Top Bottom