Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hii timu imetetewa na wazee humu kwamba nayo ni miongoni mwa timu kubwa ulaya kama ilivyo arsenal swali langu kama ac Milan ni timu kubwa mbona haina hata uwanja wake hiki ni kichekesho timu inayoitwa kubwa imeanzishwa 1899 lakini bado inakodi uwanja hapa hamna timu ni wahuni tu wa italia waliojikusanya igeni mfano Kwa timu kubwa kama arsenal wanauwanja wao tena mzuri kuliko viwanja vyote uingereza