Kama ac Milan sio timu ndogo mbona Haina uwanja

Kama ac Milan sio timu ndogo mbona Haina uwanja

We jinga kweli ushawahi kusikia au kuona timu ya taifa ya uingereza au timu yeyote tofauti na hizo zikacheza kwenye uwanja wa Etihad au Stamford bridge kama ilivyo San siro
Tunasema kumiliki viwanja wewe unasema kucheza timu ya Taifa
 
Tunasema kumiliki viwanja wewe unasema kucheza timu ya Taifa
Hivyo viwanja vinamilikiwa na hizo timu ambazo ni Chelsea na mancity ukibisha taja timu zinazomiliki hivyo viwanja
 
Kama ni uwanja hata Ipswich Town na Fulham wanavyo. Timu kubwa inahesabiwa vikombe ilivyobeba. Naomba nijibu Arsenal ana kombe gani ulaya? Huyo Milan ana makombe 7 UCL wewe hapo una kombe gani kuweza kumvimbia?
EPL 13 na finalist UEFA champions league hao ac Milan unaongelea hivo vikombe 7 vya mchongo
 
Back
Top Bottom