Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Jengeni kwanza uwanjaTuna mechi saa 2 leo.
Gunners.Jengeni uwanja
Sio ACJengeni uwanja
Mtoto wa Juzi ww huna ujualo.Hii timu imetetewa na wazee humu kwamba nayo ni miongoni mwa timu kubwa ulaya kama ilivyo arsenal swali langu kama ac Milan ni timu kubwa mbona haina hata uwanja wake hiki ni kichekesho timu inayoitwa kubwa imeanzishwa 1899 lakini bado inakodi uwanja hapa hamna timu ni wahuni tu wa italia waliojikusanya igeni mfano Kwa timu kubwa kama arsenal wanauwanja wao tena mzuri kuliko viwanja vyote uingereza
Kumbe familiaSio AC
Yanga imebeba kombe Gani la AfricaMbona kwa hapa Africa, Yanga ni timu kubwa sana lakini hawana uwanja?
Ni suala la mipango tu na kipaumbele
Timu ndogo hiyoMtoto wa Juzi ww huna ujualo.
Ina ukubwa gani?Mbona kwa hapa Africa, Yanga ni timu kubwa sana lakini hawana uwanja?
Ni suala la mipango tu na kipaumbele
hapa tunaongelea timu za mpira sio hivyo vichekeshoMbona kwa hapa Africa, Yanga ni timu kubwa sana lakini hawana uwanja?
Ni suala la mipango tu na kipaumbele
Huyo kadataIna ukubwa gani?
Hujielewi wewe yaani upange halafu ujiite tajiri unashindwa nini kujenga kama wewe ni taja tajiri asie na nyumbaMan City hamiliki uwanja
Inter Milan hamili uwanja
Chelsea hamiliki uwanja
New Castle hamiliki uwanja
Ahly hamiliki uwanja
Ac Milan hamiliki uwanja
As Roma hamiliki uwanja
Lazio hamiliki uwanja
Club Bruge hamiliki uwanja
Mamelod hamiliki uwanja
Kaizer Chiefs hamiliki uwanja
Uwanja kama unaweza kupata kwanini utumie gharama kujenga
Unadhani kapuku anayemiliki nyumba Yombo na Buza anamzidi Mhindi anayepanga Upanga na Posta
Fungua uzi, upo nje ya madaYanga imebeba kombe Gani la Africa
Wa kuifunga timu inayojiita kubwa mara 4 mfululizo...hata magoli 5Ina ukubwa gani?
Nishakwambia ww umejua mpira JanaHujielewi wewe yaani upange halafu ujiite tajiri unashindwa nini kujenga kama wewe ni taja tajiri asie na nyumba
Kwa hiyo ukubwa ni kuwa na uwanja?Hii timu imetetewa na wazee humu kwamba nayo ni miongoni mwa timu kubwa ulaya kama ilivyo arsenal swali langu kama ac Milan ni timu kubwa mbona haina hata uwanja wake hiki ni kichekesho timu inayoitwa kubwa imeanzishwa 1899 lakini bado inakodi uwanja hapa hamna timu ni wahuni tu wa italia waliojikusanya igeni mfano Kwa timu kubwa kama arsenal wanauwanja wao tena mzuri kuliko viwanja vyote uingereza
We jinga kweli ushawahi kusikia au kuona timu ya taifa ya uingereza au timu yeyote tofauti na hizo zikacheza kwenye uwanja wa Etihad au Stamford bridge kama ilivyo San siroKila
Nishakwambia ww umejua mpira Jana
Nimekutajia timu kubwa ambazo Zina mafanikio na hazina uwanja
Man city hana uwanja lakini JKT Tanzania ana uwanja, Kwaiyo JKT ni kubwa kuliko Man City, Chelsea, Ahly, Lazio n. K