Kama alipost picha za maiti na waliopigwa risasi huko Twitter lakini akajiunga na Serikali ya Umoja kwa ajili ya tumbo lake anafaa kweli huyu mtu?

Umempa jibu la maana.
Hawa masikini wa Jf wana midomo sana, mtu unaandika hoja badala ijibiwe mtu anakuja na kukuita SUKUMA GANG, kana kwamba hawa hoja nyingine.

Sasa ikiwa huna muda mzuri wa kubishana nao sharti uwakumbushe tu nafasi yao hapa duniani, kisha unakaa kimya.
 
Nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…