Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #21
Jadili hoja husika.Tulia sindano za Zzk ziwaingie nyie sukuma gang
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jadili hoja husika.Tulia sindano za Zzk ziwaingie nyie sukuma gang
We mla panya acha ujinga.Kama unauchungu nenda burigi
Leo zzk kaamua kuyatoa ya rohoni mwakeHoja yake ni kuwa amekubali kukaa meza moja na wauwaji ili kuitengeneza kesho njema.
Zzk leo kawaumbua sukuma gang na jiwe wenu1. Mudhihiri wa Mudhihiri
2. .....
Sukuma gang mdomo waziAngekuwa specific juu ya hiyo kesho njema. Kama ni yake na familia yake hapo sawa, ila kama ni kwa mstakabali wa taifa ni mshenzi tu.
Acha kutumia gongo la mabiboSukuma gang mdomo wazi
Hakuna wanafiki kama sukuma gangMwingereza alirithisha baadhi yetu tabia mabaya ya kinafiki na husuda!
Hutaki nawe kajichimbie kaburi kama alivyo shauri ZzkTapeli wa kisiasa
Kwishaaa habari zenu sukuma gangKumbuka Zitto nae amaekulia Ujiji Kigoma walipokaa Waarabu kwa muda mrefu.
Nani anaweza kumsikiliza huyu tapeli mnafiki?Hutaki nawe kajichimbie kaburi kama alivyo shauri Zzk
Habari gani? Nani Sukumagang?Kwishaaa habari zenu sukuma gang
Siwezi kubishana na mtu daraja la tatu ( fukara).Sukuma gang mdomo wazi
Umempa jibu la maana.Siwezi kubishana na mtu daraja la tatu ( fukara).
Nikutakie tu Asubuhi njema.
Hawa masikini wa Jf wana midomo sana, mtu unaandika hoja badala ijibiwe mtu anakuja na kukuita SUKUMA GANG, kana kwamba hawa hoja nyingine.Umempa jibu la maana.
Shida ya akili zenu MaCCM ni kuwa hazina akili kabisa kabisa. Kwa vile MaCCM ni wauaji na MAJIZI basi mnaona ni sawa tu.Wanasiasa wote ni wauwaji!
Nani?Alilalamika kuwa maelfu ya wapemba walipigwa risasi na wengi kuuwawa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2020.
Lakini kwa jinsi navyopenda pesa na kulisha tumbo lake alisahau kuwa kurasa zake za twita zilijaa picha za wapemba waliopigwa risasi na kuuwawa na akaunga umoja na aliodai ni wauaji.
Sasa huyu kiongozi anafaa kweli kuwa binadamu?