Kama alipost picha za maiti na waliopigwa risasi huko Twitter lakini akajiunga na Serikali ya Umoja kwa ajili ya tumbo lake anafaa kweli huyu mtu?


Cc [mention]Zitto [/mention] AYATOLLAH ZITTO ZUBERI KABWE
 
Hizi tabia za kinafiki tulirithi kwa babu zetu. Waliuzana utumwani wenyewe kwa wenyewe.
Hii ni debatable! Kwa sababu kama uelewa wao ulikuwa wa kubadilishana shanga kwa dhahabu yawezekana waliwadanganya wafalme kuwa wanawapeleka wananchi wao kuwapatia maarifa ya kuja kuwasaidia wafalme hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…