Kama alipost picha za maiti na waliopigwa risasi huko Twitter lakini akajiunga na Serikali ya Umoja kwa ajili ya tumbo lake anafaa kweli huyu mtu?

Kama alipost picha za maiti na waliopigwa risasi huko Twitter lakini akajiunga na Serikali ya Umoja kwa ajili ya tumbo lake anafaa kweli huyu mtu?

Alilalamika kuwa maelfu ya wapemba walipigwa risasi na wengi kuuwawa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2020.

Lakini kwa jinsi navyopenda pesa na kulisha tumbo lake alisahau kuwa kurasa zake za twita zilijaa picha za wapemba waliopigwa risasi na kuuwawa na akaunga umoja na aliodai ni wauaji.

Sasa huyu kiongozi anafaa kweli kuwa binadamu?

Cc [mention]Zitto [/mention] AYATOLLAH ZITTO ZUBERI KABWE
 
Hizi tabia za kinafiki tulirithi kwa babu zetu. Waliuzana utumwani wenyewe kwa wenyewe.
Hii ni debatable! Kwa sababu kama uelewa wao ulikuwa wa kubadilishana shanga kwa dhahabu yawezekana waliwadanganya wafalme kuwa wanawapeleka wananchi wao kuwapatia maarifa ya kuja kuwasaidia wafalme hao.
 
Back
Top Bottom