TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Weka namba mbili hapo ni nani. Unakumbuka aliyeambiwa ukoo wao Hata panya hatabaki? Je. Unakumbuka aliyeambiwa anashutumiwa kitembea na sumu mkononi! Angalia mpo kwenye nyumba ya vioo acheni kurusha mawe!Zzk leo kawaumbua sukuma gang na jiwe wenu
Hili pumbavu haliwezi kukuelewa.Weka namba mbili hapo ni nani. Unakumbuka aliyeambiwa ukoo wao Hata panya hatabaki? Angalia mpo kwenye nyumba ya vioo acheni kurusha mawe!
Mko kwenye nyumba ya vioo acheni kurusha mawe.Hakuna wanafiki kama sukuma gang
Mkuu kwani Zitto bado kijana mpaka leo?Zito ni kijana mjanja tunayekula naye lunch pale masaki tunamfahamu na story zake tunazifahamu tukizungumza
Yawezekana umejikausha na hii auikumbuki.Zzk leo kawaumbua sukuma gang na jiwe wenu
ugomvi wa yericko na zito haukuanza leo ulikuwepo toka zito yuko chadema na ACT haijaanzishwa. na ulisababishwa na nia ya zito kugombea uenyekiti wa mbowe , ben saanane alikuwa anatembea na sumu ya kumlisha zitto, yericko na chadema wanaumia sana mtu waliemfukuza kwenye chama ameanzisha chama chake na ndani ya muda mfupi chama chake kimekuwa maarufu kutaka kuipita chadema, na kinachowatia hofu chadema ni uchaguzi ujao ACT itazoa wabunge wengi kuwazidi na kuwa chama kikuu cha upinzani huku chadema ikijifia taratibu kama NCCR MAGEUZI
Watu malaya aina yako ni hasara sana.Siasa haina rafiki wala adui wa kudumu.
Yanatafutwa maslahi tu.
I see mbona umekuwa mkali sana?Watu malaya aina yako ni hasara sana.
Unakariri mambo hata maana yake huijui, halafu unaileta uonekane wewe ni mjuaji!
Unajua kusoma na kuandika?utawala ulioua watu kwa risasi utaulaumu lini?
Hafai kabisa, ingekuwa zamani angepigwa mawe.Mkuu kwani Zitto bado kijana mpaka leo?
Tuseme tu mtu mzima huyu wa ovyo sana
Huyo mtu niliyekuwa mkali juu yake ni mfano halisi kabisa wa matatizo makubwa tuliyonayo waTanzania.I see mbona umekuwa mkali sana?
Mkuu kwani Zitto bado kijana mpaka leo?
Tuseme tu mtu mzima huyu wa ovyo sana
Dah😂Huyo mtu niliyekuwa mkali juu yake ni mfano halisi kabisa wa matatizo makubwa tuliyonayo waTanzania.
Aina hii ya watu katika jamii ndio mwanzo wa yote haya yanayoonekana sasa hivi. Kazi yao ni kuchochea tu maovu.
Hawa ndio maadui wakubwa wa nchi yetu, kwa sababu viongozi hawa wabovu wanapata faraja kutoka kwa watu kama huyu.
Ungekuwa na akili ungejiuliza ni kwanini Zitto alifukuzwa cdm.Yawezekana umejikausha na hii auikumbuki.
Huyo ni mtu ambaye kwake ni bora liende maana anafuata nguvu ya upepo tuWatu malaya aina yako ni hasara sana.
Unakariri mambo hata maana yake huijui, halafu unaileta uonekane wewe ni mjuaji!
Tunacho furahia ni kuwa lile kundi hatari la sukuma gang sasa limesambaratishwaMko kwenye nyumba ya vioo acheni kurusha mawe.
Huyu johnthebaptist siyo chawa ila ni kunguni kabisaUsisahau kuwa amekuwa ni chawa mzuri kwa kipindi kirefu sana.
Kati ya watu wasiyo jua wanafanya niniHuyu johnthebaptist siyo chawa ila ni kunguni kabisa
Umejua wewe Murundi atashindwaje mtanzania?Unajua kusoma na kuandika?
Pole sana Mkuu. Utapona.Tunacho furahia ni kuwa lile kundi hatari la sukuma gang sasa limesambaratishwa