ugomvi wa yericko na zito haukuanza leo ulikuwepo toka zito yuko chadema na ACT haijaanzishwa. na ulisababishwa na nia ya zito kugombea uenyekiti wa mbowe , ben saanane alikuwa anatembea na sumu ya kumlisha zitto, yericko na chadema wanaumia sana mtu waliemfukuza kwenye chama ameanzisha chama chake na ndani ya muda mfupi chama chake kimekuwa maarufu kutaka kuipita chadema, na kinachowatia hofu chadema ni uchaguzi ujao ACT itazoa wabunge wengi kuwazidi na kuwa chama kikuu cha upinzani huku chadema ikijifia taratibu kama NCCR MAGEUZI