Kama alipost picha za maiti na waliopigwa risasi huko Twitter lakini akajiunga na Serikali ya Umoja kwa ajili ya tumbo lake anafaa kweli huyu mtu?

Utamjua wewe,nincho furahia ni kuwa zzk kwaamua ktapika nyongo yake kwa jiwe na chawa wake kama wewe.
"The New Culture" yawezekana ndiye unayempigania. Wasiliana na Great Thinker wa story ambaye si mwingine bali ni yoga
 
Nyie si ndiyo mnaniita wanyonge aka Sukuma gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…