Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
- #41
We jamaa ulipotelea wapi? Sijakuona kitambo nikajua umekufa.Mtususie mbususu zenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa ulipotelea wapi? Sijakuona kitambo nikajua umekufa.Mtususie mbususu zenu
Unajua kuna mbususu moja ilikuwa imenikamata. Nipo mzeya....kama nimeweza survive miaka 17na hiv bila arv i bliv i can survive another 17 more years....😜We jamaa ulipotelea wapi? Sijakuona kitambo nikajua umekufa.
Na ndio tatizo lenu lilipo yani mnataka wanawake full package ilihali ninyi wenyewe hamna vigezo vyote wanawake wanavyovitaka, hapo ndio mchague moja sasa either wife material but dependent au corporate woman but independent huwezi kupata vyote, dunia ya leo hakuna mwanamke wa hivyo labda umuumbe wa kwako wanawake wengi wamejifunza kuprioritize furaha yao kuliko chochotebora wa hivi, ila sasa u wife material sijui.
mimi niko fully package, nahitaji mwenzangu hivo hivo.Na ndio tatizo lenu lilipo yani mnataka wanawake full package ilihali ninyi wenyewe hamna vigezo vyote wanawake wanavyovitaka, hapo ndio mchague moja sasa either wife material but dependent au corporate woman but independent huwezi kupata vyote, dunia ya leo hakuna mwanamke wa hivyo labda umuumbe wa kwako wanawake wengi wamejifunza kuprioritize furaha yao kuliko chochote
Umejuaje siko full package?, ok niko full package kwahiyo nataka wa aina yangu.Na ndio tatizo lenu lilipo yani mnataka wanawake full package ilihali ninyi wenyewe hamna vigezo vyote wanawake wanavyovitaka, hapo ndio mchague moja sasa either wife material but dependent au corporate woman but independent huwezi kupata vyote, dunia ya leo hakuna mwanamke wa hivyo labda umuumbe wa kwako wanawake wengi wamejifunza kuprioritize furaha yao kuliko chochote
mimi niko fully package, nahitaji mwenzangu hivo hivo.
Hakuna binadamu ambaye ni full package labda kama hujui sifa za mtu kuwa hivyo, suala siyo wewe kutaka bali suala ni kwamba hao unaowataka hawapo na huo ndio uhalisia, wanawake wameshajua kwamba hakuna mwanaume full package wameamua kukubaliana na uhalisia shida iko upande wenu ndio hamtaki kukubaliUmejuaje siko full package?, ok niko full package kwahiyo nataka wa aina yangu.
Wanawake wanaotaka vigezo vyao pia hatujawakataza kutafuta madam.
Kwa Kizazi hiki cha sasa 96% ya wanawake ndio wapo hivyo na ndio hao unaowasemanga.
4% waliobaki ndio hao unaowafagilia mtoa mada. Hawa walikuwepo miaka ya kitambo sana, sasahivi wanaelekea kutoweka. Japo kidogo unaweza kuwabahatisha huko kwenye nyumba za ibada na vijijini.
Ndio maana sikuhizi Ndoa zinasambaratika sana. Kuna uhaba sana wa kupata wife material. Staili ya maisha imebadilika sana
Hapa napingana na wewe mkuu.Huwezi kupata wife material Mkuu, wife material ni zao lako wewe MWANAUME
Wife Material anatengenezwa/anajengwa
ni product ya MWANAUME kutokana na Maono yake Kwaiyo ni wajibu wa muoaji kumtengeneza/ kumjenga wife material wake according to his vision 🧠
Aluta continuaUnajua kuna mbususu moja ilikuwa imenikamata. Nipo mzeya....kama nimeweza survive miaka 17na hiv bila arv i bliv i can survive another 17 more years....😜
Umechokoza nyuki. Uyo jamaa anapenda sana ligi. Hapa hamtamaliza leo.Umejuaje siko full package?, ok niko full package kwahiyo nataka wa aina yangu.
Wanawake wanaotaka vigezo vyao pia hatujawakataza kutafuta madam.
😂😂😂 ila jadda, sema nini kama vike tunaendana ivi, tufanye mpango , maana tuanelewana kwenye kila angle.Hakuna binadamu ambaye ni full package labda kama hujui sifa za mtu kuwa hivyo, suala siyo wewe kutaka bali suala ni kwamba hao unaowataka hawapo na huo ndio uhalisia, wanawake wameshajua kwamba hakuna mwanaume full package wameamua kukubaliana na uhalisia shida iko upande wenu ndio hamtaki kukubali
Leta hoja MkuuHapa napingana na wewe mkuu.
Id yako nyingine ni gani😂😂😂 ila jadda, sema nini kama vike tunaendana ivi, tufanye mpango , maana tuanelewana kwenye kila angle.
Mfano ni kuulize wewe mkuu, nataka nijue ukoje ukiwa ktk relatioshp ilio na maana , hio misimamo yako ina be applied?
hapana nina hii tu madam.Id yako nyingine ni gani
Inabidi hao wanaume nao wawe mboga 7 vinginevyo waendelee kutafuta wa kufanana nao.Tafuteni mabinti wa kishua, mboga 7, hawa wengine achaneni nao kbsaa.
Kama jadda ni mwanamke nina uhakika misimamo yake inaishia hapa hapa jf tu, hakuna mwanaume anaweza kukubaliana nayo.Mfano ni kuulize wewe mkuu, nataka nijue ukoje ukiwa ktk relatioshp ilio na maana , hio misimamo yako ina be applied?
wife materials ambao ni ready-made wapo.Leta hoja Mkuu
Mwanaume hata asipotoka kwenye familia ya mboga 7 muhimu awe tu na shughuli ya kumuingizia kipato haitamgharimu mpenzi wake kwa sababu kwa hulka ya mwanaume hayaangalii mahusiano kama njia ya kuhudumiwa au kupata financial benefits kutoka kwa mwanamke tofauti na mwanamke kama hajatoka kwenye familia ya mboga saba bado ana ulimbukeni wa kufukuzana na fashion za nguo, i phone, kula KFC n.k hapa hata mwanamke akiwa na kazi bado atakitolea macho kipato cha mwanaume na uyo mwanamke asipokua na kazi hapo sasa ndipo mwanaume ajiandae kubebeshwa majukumu ya mzazi wa uyo mwanamke punde tu atakapomtongoza.Inabidi hao wanaume nao wawe mboga 7 vinginevyo waendelee kutafuta wa kufanana nao.
Huyo mwanaume anaweza kua ana shughuli sawa lakini je kipato chake kinaridhisha?? Kipato chake kinafanana na kwa huyo bidada anaetaka kwenda kujiweka ama mnasema tu muwe na wanawake wanaojiweza ilhali na nyie mwajikongoja hali tete?Mwanaume hata asipotoka kwenye familia ya mboga 7 muhimu awe tu na shughuli ya kumuingizia kipato haitamgharimu mpenzi wake kwa sababu kwa hulka ya mwanaume hayaangalii mahusiano kama njia ya kuhudumiwa au kupata financial benefits kutoka kwa mwanamke tofauti na mwanamke kama hajatoka kwenye familia ya mboga saba bado ana ulimbukeni wa kufukuzana na fashion za nguo, i phone, kula KFC n.k hapa hata mwanamke akiwa na kazi bado atakitolea macho kipato cha mwanaume na uyo mwanamke asipokua na kazi hapo sasa ndipo mwanaume ajiandae kubebeshwa majukumu ya mzazi wa uyo mwanamke punde tu atakapomtongoza.
Mahusiano ya kimapenzi sio mashindano ya vipato dada angu. Kama wote mna vipato vya kuwatosheleza mahitaji yenu ni sawa muhimu tu kusiwe na mmoja ambae anamuongezea mzigo mwenzake, binafsi nishapitia mahusiano kadhaa ambayo mimi nilikua namzidi kipato mwenzangu ivyo ivyo kuna mahusiano ambayo nilikua nazidiwa kipato na kwenye suala la kifedha mambo yakaenda vizuri tu hakuna aliekua anambebesha mwenzake majukumu ya kuhudumiwaHuyo mwanaume anaweza kua ana shughuli sawa lakini je kipato chake kinaridhisha?? Kipato chake kinafanana na kwa huyo bidada anaetaka kwenda kujiweka ama mnasema tu muwe na wanawake wanaojiweza ilhali na nyie mwajikongoja hali tete?