Kama bado unajitafuta toyota passo ndo usafiri sahihi

Mimi kawaida huwaio mtu wa show off, gari ninayonunua ni kwa ajili ya kunitoa home kwenda job, na ninapohitaji kwenda mahali nisiwaze kupanda bus, sasa wewe una harier tako la nyani ukiwa na safari 200km unapanda gariukiulizwa unasema lina bwia wese
 
Kwenye passo sirudi hata iweje
Ila hiyo gage yako ina shida.

Ukipiga mafuta mpaka mdomoni, hiyo bar yakwanza inadondoka around km 135. Baada ya hapo, kila bar moja ya gage ya mafuta inadondoka around km 70-75.

Kwahiyo hapo ni gage imechelewa kusoma au km zako hazijafika hiyo 220

Naijua vizuri sana passo. Vizuri saanaa
 
Hii unayoizungumzia ni ya 990 ama 1,290?
 
Shida ya watu mnaomiliki Passo huwa mnapenda sana kuvimba na kutaka kuaminisha umma ya kwamba hizo gari zenu ni amazing!! Kumbe ni Tabutupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…