Kama bado unakaa kwenu usitoke, Maisha yapo juu sana kila kitu kimepanda

Kama bado unakaa kwenu usitoke, Maisha yapo juu sana kila kitu kimepanda

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Kwa hali ya maisha ya sasa kama bado unakula na kulala bure iwe kwenu au kwa shemeji yako ongeza nidhamu kwa hao wanaokulisha wanabeba mzigo mkubwa sana.

Maisha yapo juu sana kila kitu kimepanda.

Mahindi kutoka 1200 kg hadi 1500

Mafuta ya kula kutoka 32000 Lita 5 hadi 40000.

Sabuni ya kufulia 7000 kg now 9500.

Viazi mviringo 1 kg 1000 now 1300.

Sabuni mche 2500 now 3500.

Mboga za majani fungu moja 300 now 400.

Nyama 6000 now 8000.

Unga wa ngano 1200 now 1800.

Gesi 54000 now 56000.

Gunia la mkaa 56000 now 62000

Mengine mtaongeza.
 
Wasitoke hadi lini? Ila vijana wengi wasio na chakufanya kuanza maisha ya ghetto kipindi hiki hawatoweza
 
Bado haijawa sababu, hata wazazi wetu walihama makwao, vitu walikuwa wananunua kwa bei chee na vikapanda.

Kuna sababu za kutokuhama home lakini si hiyo ya maisha kupanda bei, haswa mtoto wa kiume ukiwa kwenu huwezi kula kulala bure, lazima uhudumie familia, hivyo mambo ni yale yale.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bado haijawa sababu, hata wazazi wetu walihama makwao, vitu walikuwa wananunua kwa bei chee na vikapanda.

Kuna sababu za kutokuhama home lakini si hiyo ya maisha kupanda bei, haswa mtoto wa kiume ukiwa kwenu huwezi kula kulala bure, lazima uhudumie familia,hivyo mambo ni yale yale.
Hahaha kweli yaani ukiwa mkubwa home dingi anajikausha hata wiki
 
Kwa hali ya maisha ya sasa kama bado unakula na kulala bure iwe kwenu au kwa shemeji yako ongeza nidhamu kwa hao wanaokulisha wanabeba mzigo mkubwa sana.

Maisha yapo juu sana kila kitu kimepanda.

Mahindi kutoka 1200 kg hadi 1500

Mafuta ya kula kutoka 32000 Lita 5 hadi 40000.

Sabuni ya kufuli 7000 kg now 9500.

Viazi mviringo 1 kg 1000 now 1300.

Sabuni mche 2500 now 3500.

Mboga za majani fungu moja 300 now 400.

Nyama 6000 now 8000.

Unga wa ngano 1200 now 1800.

Gesi 54000 now 56000.

Gunia la mkaa 56000 now 62000

Mengine mtaongeza.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hapo fungu la mboga leo nimeuziwa chinese 600 na tusisahau nauli imepanda vilevile unapotoka kwenda mishemishe. Gunia la mkaa ni 70,000. Kwa vijana hawa waogawaoga nadhani huu ni ushauri wa kuzingatia na kuuchukulia kwa umakini mzito vinginevyo itakuwa aibu. Wapo watakaobeza ushauri huu lakini una uzito wake kwa yule aliyekuwa na mpango wa kujitegemea apose kwanza hali ni tete.
 
Back
Top Bottom