Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
- Thread starter
- #61
Sehemu gani hiyo? Nipe location nijehatari sana ila huku nilipo mm mafuta ya kula yameshuka sana Lita 5- 25000/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sehemu gani hiyo? Nipe location nijehatari sana ila huku nilipo mm mafuta ya kula yameshuka sana Lita 5- 25000/=
hatari sana ila huku nilipo mm mafuta ya kula yameshuka sana Lita 5- 25000/=Kwa hali ya maisha ya sasa kama bado unakula na kulala bure iwe kwenu au kwa shemeji yako ongeza nidhamu kwa hao wanaokulisha wanabeba mzigo mkubwa sana.
Maisha yapo juu sana kila kitu kimepanda.
Mahindi kutoka 1200 kg hadi 1500
Mafuta ya kula kutoka 32000 Lita 5 hadi 40000.
Sabuni ya kufulia 7000 kg now 9500.
Viazi mviringo 1 kg 1000 now 1300.
Sabuni mche 2500 now 3500.
Mboga za majani fungu moja 300 now 400.
Nyama 6000 now 8000.
Unga wa ngano 1200 now 1800.
Gesi 54000 now 56000.
Gunia la mkaa 56000 now 62000
Mengine mtaongeza.
Babati manyaraSehemu gani hiyo? Nipe location nije
kule ndo hawarembeshi ukienda kuendekeza mambo yako ya kuuza matako unaliwa na risasi unapigwa, hawatakagi machoko kule.Maisha magumu sana hapa nampango wa kujilipua Urusi au Ukraine nikasaidie vita
[emoji851]
Dah, nipo mbali sana, huku kwa kina Ashura.hatari sana ila huku nilipo mm mafuta ya kula yameshuka sana Lita 5- 25000/=
Babati manyara
tena tunajamu ya mafuta lita20 - 95000/=
Na hatuna wateja, alizeti pure Kama upo karibu na ukanda huu unaweza kututembelea
Utakiwa mchawi sio bure.Hili ndilo limeleta matatizo ya urithi nyumbani kwetu. Mwaka 2007 kaka yangu alikwa ameshamaliza chuo lakini alikuwa anazagaa zagaa tu nyumbani.
Hataki kuhama japokuwa alikuwa amekwisha wezeshwa kiuchumi. Baba akatufukuza nyumbani 'kidiplomasia'. By that time baba alikuwa anajenga dispensary.
Alikuwa amekwishajenga nyumba ya dk, nurse na jengo la dispensary na majengo mengine.
Mimi baba aliniambia kuwa nisomee udaktari ili anirithishe hospital. Means alinichagua kuwa mrithi wa hospitali.
But baada ya kufukuzwa hom, kaka yangu alipewanyumba ya daktari akakae, then mdogo wangu naye akasema naye hataki kukaa hm, basi naye akapewa nyumba ya nurse akakae.
Baba alipofariki, mama akasema kuwa ile estate tumemilikishwa wote. Ila kwa kuwa baba alisha ascertain nini cha kurithi kwenye ile estate kt ya kaka na mdogo wangu; mimi nikasema, wacha for a mean time mama aendelee kuhemea hapo.
But in her absence hawa siblings vichwani mwao wameweka equal ownership. Hapa nawaza nawezaje kuwachomoa bila kuvunja undugu ili kila mtu abaki na kile alichogawiwa kwenye hii estate?
Wataalam hapa mnisaidie...
shem anakubali kufuga mashoga kwakeAiseee! Itabidi niache uvivu nianze kua nafagia hata uwanja hapa kwa shemeji nisije nikatimuliwa,
Lol
Ndio,shem anakubali kufuga mashoga kwake
Kuna chalii nimemkaribisha gheto akae siku mbili aangalie ramani zake lakin nashangaa ananiletea stori nyeusi anaanza kujisemesha
Eti hapa tutafute jiko letu la gesi na sufuria zetu 3 tunakua tunajipikia wenyewe.
Shuubastard anataka akimbie rungu la maisha kwa mgongo wangu
Kama wenye madaraka wana maslahi yao hapo unafikiri wataanza kukuprotect ww consumer kikalagosi?Kilio changu kipo kwenye hizi sabuni kwann zinapanda kiholela.??? Hata kama mafuta yamepanda sio ndio kila kitu kipande.tanzania kila mtu akiamka anapanga bei yake hakuna consumer protection.
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Just be cool manKuna chalii nimemkaribisha gheto akae siku mbili aangalie ramani zake lakin nashangaa ananiletea stori nyeusi anaanza kujisemesha
Eti hapa tutafute jiko letu la gesi na sufuria zetu 3 tunakua tunajipikia wenyewe.
Shuubastard anataka akimbie rungu la maisha kwa mgongo wangu
kwahiyo siku dadaako hayupo anamaliza kwakoNdio,
Hana neno kabisa
Tutatia tu mimba mtoto atakaa kwa bibi ake kuoa tulishakataa na kuondoka nyumbani hatuweziMimi nawashauri watoke mjini watafute mikoa yenye unafuu wa maisha wakainzishe maisha yao huko, hali ni mbaya kweli lakin kama ni mwanaume kuna siku atahitaji kuoa na kuwa na familia yake.