My Name is J
Member
- Jul 10, 2021
- 45
- 83
Sidhani kama ni ushauri mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akianza kuzima taa utafanya nini?Aiseee! Itabidi niache uvivu nianze kua nafagia hata uwanja hapa kwa shemeji nisije nikatimuliwa,
Lol
Kheee kwa hiyo wewe ndio unataka kuwadhulumu wenzio,Huyu kaka alishapewa nyumba ya dk. But in the end, atataka na majengo mengine ambayo hakupewa.
Na huyu dogo alishapewa nyumba ya nesi. But in the end mama akidondoka naye atadai majengo mengine ambayo hakupewa.
Sasa hapa nataka kaka aridhike na nyumba ya dk ambayo alipewa akaishi na kuijengea fensi asidai majengo/ eneo jingine. Vile vile huyu dogo aridhike na nyumba ya nurse asidai eneo/ majengo mengine ambayo ni mengi na yanadondokea kwangu.
====
By the way, sikusoma udaktari. Nilienda kusoma vitu vingine kabisa.
Ndio hovyo ni balaa juu ya balaa..👇Kwa hali ya maisha ya sasa kama bado unakula na kulala bure iwe kwenu au kwa shemeji yako ongeza nidhamu kwa hao wanaokulisha wanabeba mzigo mkubwa sana.
Maisha yapo juu sana kila kitu kimepanda.
Mahindi kutoka 1200 kg hadi 1500
Mafuta ya kula kutoka 32000 Lita 5 hadi 40000.
Sabuni ya kufuli 7000 kg now 9500.
Viazi mviringo 1 kg 1000 now 1300.
Sabuni mche 2500 now 3500.
Mboga za majani fungu moja 300 now 400.
Nyama 6000 now 8000.
Unga wa ngano 1200 now 1800.
Gesi 54000 now 56000.
Gunia la mkaa 56000 now 62000
Mengine mtaongeza.
Huwezi kukaa kuongea na ndugu zako?Hawa ndugu kila mmoja alishapewa mali zingine ambazo kwa thamani zinalingana na hii estate. Yani ni kama wao wamenivamia kwenye mali yangu. Sina tamaa na mali ya urithi ila kuikana sehemu inayoniangukia ni kama kuwskana wazazi walionileta Duniani.
Pia kuwaruhusu ndugu wachukue mali yangu ni sawa na kuchezea urithi wa wanangu.
Mwanzo nilipanga kujitoa mazima. But on a second thought nikaona kuwa nafanya kitu kibaya.
Pia kuanza mwanzo sio mchezo. Kupata hilo eneo kwa sasa inabidi uwe na milioni mia plus!
Sisi tulipewa bure na serikali mwaka 2,000.
Enzi hizo yalikuwa ni mapori ambapo majambazi walikuwa wanajificha.
Nilikuwa nikienda mimi na baba kwa kutumia usafiri wa baiskeli ya Phoenix huku tukiwa tumejihami kwa kubeba mapanga makali!
Miaka 22 imepita tangu tupate hilo eneo. Kwa sasa kupata eneo kama hilo mjini ni ndoto
My love kimya sana why 😘?Aiseee! Itabidi niache uvivu nianze kua nafagia hata uwanja hapa kwa shemeji nisije nikatimuliwa,
Lol
Kama ulipo kwa sasa hawajakuchoka,anza kujipanga mdogomdogo. Andaa vitu vya muhimu kuwa navyo getho. Baada ya hapo andaa kodi ya chumba. Shukuru Mungu unapo pa kuanzia,wenzio walifika mjini na shati na suruali basi na hawakuwa na ndugu wala jamaa pa kuanzia.Sasa tutaondoka lini kama tunaogopa maisha kila siku
mhh! umekubali kuongea haya, na uchoko wako inaonesha hata biashara ya kuuza rinda imekua ngumu.Aiseee! Itabidi niache uvivu nianze kua nafagia hata uwanja hapa kwa shemeji nisije nikatimuliwa,
Lol
lisagwaji lingine hili hapa. Inaonesha culture me huwa anakusaga wewe.My love kimya sana why í ½í¸?
Mkuu kumbe unafika hadi huku?[emoji38][emoji38][emoji38]
Hawa ndugu kila mmoja alishapewa mali zingine ambazo kwa thamani zinalingana na hii estate. Yani ni kama wao wamenivamia kwenye mali yangu. Sina tamaa na mali ya urithi ila kuikana sehemu inayoniangukia ni kama kuwskana wazazi walionileta Duniani.
Pia kuwaruhusu ndugu wachukue mali yangu ni sawa na kuchezea urithi wa wanangu.
Mwanzo nilipanga kujitoa mazima. But on a second thought nikaona kuwa nafanya kitu kibaya.
Pia kuanza mwanzo sio mchezo. Kupata hilo eneo kwa sasa inabidi uwe na milioni mia plus!
Sisi tulipewa bure na serikali mwaka 2,000.
Enzi hizo yalikuwa ni mapori ambapo majambazi walikuwa wanajificha.
Nilikuwa nikienda mimi na baba kwa kutumia usafiri wa baiskeli ya Phoenix huku tukiwa tumejihami kwa kubeba mapanga makali!
Miaka 22 imepita tangu tupate hilo eneo. Kwa sasa kupata eneo kama hilo mjini ni ndoto
My love nipoooo ila wewe ndio sikuoni sijui nani kakuficha [emoji31]My love kimya sana why [emoji8]?
Maisha magumu sana hapa nampango wa kujilipua Urusi au Ukraine nikasaidie vitamhh! umekubali kuongea haya, na uchoko wako inaonesha hata biashara ya kuuza rinda imekua ngumu.
hatari sana ila huku nilipo mm mafuta ya kula yameshuka sana Lita 5- 25000/=Kwa hali ya maisha ya sasa kama bado unakula na kulala bure iwe kwenu au kwa shemeji yako ongeza nidhamu kwa hao wanaokulisha wanabeba mzigo mkubwa sana.
Maisha yapo juu sana kila kitu kimepanda.
Mahindi kutoka 1200 kg hadi 1500
Mafuta ya kula kutoka 32000 Lita 5 hadi 40000.
Sabuni ya kufulia 7000 kg now 9500.
Viazi mviringo 1 kg 1000 now 1300.
Sabuni mche 2500 now 3500.
Mboga za majani fungu moja 300 now 400.
Nyama 6000 now 8000.
Unga wa ngano 1200 now 1800.
Gesi 54000 now 56000.
Gunia la mkaa 56000 now 62000
Mengine mtaongeza.