Kama bado unakaa kwenu usitoke, Maisha yapo juu sana kila kitu kimepanda

Motivation speaker mbona siku hizi siwaoni mitaani au ndo pumzi ishakata na wao
 
Kheee kwa hiyo wewe ndio unataka kuwadhulumu wenzio,
Yaani kwanini ujihisi wewe ndio wa kupata majengo mengine mengi na ndugu zako wapate jengo moja moja???
 
Ndio hovyo ni balaa juu ya balaa..👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220524-214838.png
    110.6 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220524-215057.png
    37.8 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220524-215123.png
    38.3 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220524-214936.png
    36.6 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220524-080600.png
    136.8 KB · Views: 13
Huwezi kukaa kuongea na ndugu zako?
 
Sasa tutaondoka lini kama tunaogopa maisha kila siku
Kama ulipo kwa sasa hawajakuchoka,anza kujipanga mdogomdogo. Andaa vitu vya muhimu kuwa navyo getho. Baada ya hapo andaa kodi ya chumba. Shukuru Mungu unapo pa kuanzia,wenzio walifika mjini na shati na suruali basi na hawakuwa na ndugu wala jamaa pa kuanzia.
 
Aiseee! Itabidi niache uvivu nianze kua nafagia hata uwanja hapa kwa shemeji nisije nikatimuliwa,

Lol
mhh! umekubali kuongea haya, na uchoko wako inaonesha hata biashara ya kuuza rinda imekua ngumu.
 
Wacha kuchochea wenzio eti wasitoke home. Mtegemea cha ndugu hufa na ulofa.
 

Fanya jambo muhimu. Wewe wasaidie kujenga nyumba pembeni afu wahamishe ili upafanye pale kua biashara ya familia. Kama unaona ni hasara we fanya kuongea nao muuze hapo kila mtu akajenge kwao.

Au kama unaona hiyo haifai wewe chukua nyumba ya nesi yeye mpe jengo la dispensary
 
mhh! umekubali kuongea haya, na uchoko wako inaonesha hata biashara ya kuuza rinda imekua ngumu.
Maisha magumu sana hapa nampango wa kujilipua Urusi au Ukraine nikasaidie vita
[emoji851]
 
hatari sana ila huku nilipo mm mafuta ya kula yameshuka sana Lita 5- 25000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…