Mi kila siku natembea 10kmMazoezi ni kwa kila rika na kwa wakati wote wa maisha
Acha tunn kimekukuta
Kabisa mazoezi ni muhimu mno hasa kwa sisi wala maji asubuh na jioni kila sikukwel kabisa muhimu sana ila ukiwa kijana unaweza kufanya kwa mda mrefu zaidi
Kimbia uchome zaidi na kutafuta pumziMi kila siku natembea 10km
Kiasi alhamdulillahpole sana vp unaendeleaje saaahv
unatakiwa uwe unafanya kila siku mazoezi sio zali ya sku 1, hali ni mbaya sanaJana nimetembea KWA miguu kuanzia mbezi Hadi gongolamboto kupitia ulongoni kama sehemu ya mazoezi na kuangalia mazingira pia. Imekuwa siku ya furaha sana
Tembea walau hatua elfu 8 kwa sikuRatiba ya mazoezi sijawai itendea haki, nilipokua chuo angalau maana nlikua na kampani, naona uvivu sana ninachoweza now ni kula kidogo.
Tatizo bongo wagonjwa wanarundikana wengi pia katika hospitali chache kwa hiyo unaweza kufikiria watu wanaumwa sana hivyo kumbe kawaida tu huduma ndio changamoto.kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandika
kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandika
Nyie mbwa waambieni hao waume zenu watumie kodi zetu vizuri ili tupate huduma nzuri za kiafya maku maku nyie wallahMi kila siku natembea 10km