kwann unayachukiaMazoezi ni mazuri lakini kwangu nayachukia sana kwa sababu naona kama nakuwa napoteza muda vile lakini napenda kulima Lima Yani najisikia safi sana kupalilia Mahindi kugeuza mbugani namana nafanya mazoezi huku naingiza shekeri
kwa wanaume pia wajizoeshe kulazimisha bao 3 kila siku bonge la cardio lenye burudani ndani yake, kama wife mzembe ongeza GNZ wawili uwe na very tight scheduleUkiachana na mazoezi pia kazi ndogo ndogo za nyumbani na kijamii sio za kumuachia msaidizi. Palilia,fyeka,katia maua na kazi zote ambazo zitafany Mwili wako ushughulike haswa(kwa wale ambao hutumia muda mwingi ofisini)
Pia usilaghaiwe na teuzi na fedha za wahuni ukawa shoga utajuta uzeenikwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandika
Neno hili🙏kwa wanaume pia wajizoeshe kulazimisha bao 3 kila siku bonge la cardio lenye burudani ndani yake, kama wife mzembe ongeza GNZ wawili uwe na very tight schedule
Hujaulizwa wewe unafanyaga nini. Watz kinachotuponzani kujitetea na umimi kama unaouonyesha waziwazi hapaMi kila siku natembea 10km