stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
- Thread starter
- #341
kabisa Dr.LuuMazoezi ni jambo zuri sana ila tusisahau magonjwa hayatokei kwa kuacha kufanya mazoezi pekee, hapana.
Tuwe makini na ulaji wetu ( vyakula na vinywaji) pia kwakua ukiwa unafanya mazoezi na ilihali unatumia pombe kwa mfano ini, figo, moyo, ubongo, nk viko hatarini.
Afya ni suala pana tuwe makini.