Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

Anae sema anatembea 10 km.
Apps anayotumia inamdanganya.(gallow bird )
hii ni 5.km kasoro mita 100. Mwendo wa wanaume (wa kuchangamka) tena asbh.Mwili uko active.
Ni saa 1:13.
Kwa 10 Km ukipiga mwendo wa mjini ni masaa ma 3
XRecorder_07052025_225959.jpg
 
Kufanya mazoezi huku hutumii condom ni KAZI bure....
Utakufa vibaya ww nakwambia🤣
 
Wamasai wamekuwa wanaishi kwa nyama na pombe ya asali kwa mamia ya miaka na hawagui figo.
Mmasai anakula Nyama Mbezi halafu anatembea wa Mguu mpaka Chalinze ndio analala huko hio Nyama ngumu kumuathiri
 
Jana nimetembea KWA miguu kuanzia mbezi Hadi gongolamboto kupitia ulongoni kama sehemu ya mazoezi na kuangalia mazingira pia. Imekuwa siku ya furaha sana

Bora kutembea 3 km everyday kuliko kutembea Dar es salaam to Arusha mara Moja kwa mwaka, akili mtu wangu, consistent
 
kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandika
Magonjwa yakitaka kuja huwezi yazuia hata ufanyaje. Ndio maana kifo cha ugonjwa huitwa "natural death".
Binaadamu lazima ufe na magonjwa ndio njia sahihi ya kuondoka duniani.
Fanya mazoezi kwa kujifariji na starehe ya muda mfupi ila maradhi yatakufikia TU.
 
Itabidi nianze tu mazoezi kwa lazima maana nimeshindwa kuchakata mbususu juzi asee nimezalilikaa nimeshindwa kurudia round ya pili wakati huo ya kwanza ata dk 5 sikumaliza nilikuwa nahema vibaya yani kwa aibu niliyoipata keshokutwa au mtondogoo naanza tizi
 
sawa
 
fanya mazoezi kwa ajili ya afya yako kwa ujumla, pia mambo ya mbusus achana nayo
 
Back
Top Bottom