gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Samsa rov..balaa,nashangaa siwezi siku hizi, uzee ni ucengesaf jitahidi kila wiki ata mara 2 sio mbaya unatembea pushups, plank zile kata tumbo
Samsa rov..balaa,nashangaa siwezi siku hizi, uzee ni ucengesaf jitahidi kila wiki ata mara 2 sio mbaya unatembea pushups, plank zile kata tumbo
Mimi ndio usafiri wangu wa kupiga misele na mda mwingine wa vibarua vya karibu na maskanBaiskeli tizi la maana sana
Hapo kwenye maji na mazoezi sasa😂😂😂Kabisa mazoezi ni muhimu mno hasa kwa sisi wala maji asubuh na jioni kila siku
Pombe inakula maini bana,acha tuYah! Mzee wangu alipata shida ya ini sababu ya lager kwahyo pua yangu ina aleji na pombe yeyote, soda ni mazingirq yananilazimisha
Bonge la tizi hiyo kitu, sometimes huwa naendesha 14km,mapaja hoiMimi ndio usafiri wangu wa kupiga misele na mda mwingine wa vibarua vya karibu na maskan
Hauwezi amani napiga tungi ila tukikutana gym utatema bungo bwasheeHapo kwenye maji na mazoezi sasa😂😂😂
Plus pombe na nyamaWapunguze kula Ugali Sembe na Chips pia
Nina miaka40 ni mchezaji mzuri wa mpira japo cjafanikiwa kucheza vilabu vikubwa ila Kila nikikaa kunasauti inaniambia nikajitolee pale Simba Kwa mkataba wamiezi 6 bure wanipe mechi5 nicheze ikiwemo mechi na yanga, lengo langu ni kuwafunga yanga, nikotayari niwape nyumba yangu ya million 50 nikishindwa, ila nikiwafunga yanga wanipe million 500kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandika
Mashimo!?itakua mashimo mengi we mzee, punguza weka bidii kwenye mazoezi na msosi mzuri
Inaonekana wewe ni kanene bwasheeBonge la tizi hiyo kitu, sometimes huwa naendesha 14km,mapaja hoi
Sembe ni kisukari tupuPlus pombe na nyama
Mimi naona kufanya mazoezi ukiwa peke yako ndiyo vizuri hasa ya kukimbia,mkiwa wawili mnakuwa mnatiana uvivu.Ratiba ya mazoezi sijawai itendea haki, nilipokua chuo angalau maana nlikua na kampani, naona uvivu sana ninachoweza now ni kula kidogo.
Wanakwambia mazoezi ya jasho kutoka wanafanya kila siku na wake zao...sahihi kabisa hakikisha jasho linatoka
Hapana,mwili wa kawaida tu, nashangaa nashindwa vingi kwa haraka, baiskeli 1990s nilikua naendesha 30km nikiwa swaumu na fresh tu,dar imeniharibu sana!Inaonekana wewe ni kanene bwashee
nna ndugu aliekata moto kisa hizi mambo. moyo ulijaa mafuta it was too late
Kwani pushup huwa zinasaidia Nini mwilini?saf jitahidi kila wiki ata mara 2 sio mbaya unatembea pushups, plank zile kata tumbo