Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

7km zinafika, msosi silagi sana, soda ni ngumu kuacha mkuu...
Alafu kuna watu wanapiga sana lager ila awana shida kwahyo, haya mambo kuna wakati hayaelezeki
ila "prevention is better than cure" na ni kwel kuna watu wana baahti hizo lakini huezi jua upande wako
 
Asante Kwa kutukumbusha inabidi jioni ya Leo nikatembee!!
 
Nimeacha soda mwaka wa 7,unashindwa nini?!..ukisikia kiu kunywa maji..hao wa lager we subiri tu, usidhani wameshinda
Yah! Mzee wangu alipata shida ya ini sababu ya lager kwahyo pua yangu ina aleji na pombe yeyote, soda ni mazingirq yananilazimisha
 
Back
Top Bottom