Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

Ukitembelea mahospitalini ndio utajua hali ni mbaya

Vijana walevi wengi shida ni figo na ini, wanakufa sana na wengine wanazidi kuongezeka
​
kilichonishtua ni kwamba kuna mtu anafululiza hospital ila sasa anaambiwa ugonjwa wako hauna dawa
 
kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandika
BInafs naona mazoez ni kupoteza muda me Huwa nalima na hii ni mazoezi tosha kwanngu kabisa
 
Tatizo bongo wagonjwa wanarundikana wengi pia katika hospitali chache kwa hiyo unaweza kufikiria watu wanaumwa sana hivyo kumbe kawaida tu huduma ndio changamoto.
Zamani kwa uchache huo huo wa hospital ulikuwa hukuti watu wamerundikana kama ilivyo leo.

Kuna tatizo kubwa na kulikubali ni moja wapo ya tiba.
 
Mkuu kwani kazi zako ni za kukaa sana..
Mfano mimi kazi yangu ni kuvuja jasho je ninafaa nifanye haya mambo
Mi boss mkulima, yaani shamba ni kuelekeza kwa vidole tu,kama kazi yako ni kufyatua tofali,saidia fundi,mcheza mpira,riadha,ndondi..yaani kama unakata calories za kutosha kazini,huhitaji mazoezi
 
Back
Top Bottom