Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

nadhan ata mbunge bwege nae aliomba wa kumchangia figo kama sjasahau

View: https://www.youtube.com/watch?v=-D01NNHBWyU&pp=ygUMbWJ1bmdlIGJ3ZWdl

Inasikitisha sana watu hawajali afya zao

Unajua vijana wengi nguvu za ujana zinawadanganya sana

Wanabwia alcohol na pombe kali wanavyoona wana nguvu za ujana wanadhani hakuna madhara

Ngoja sasa wakianza kugonga 40+ hapo ndio wanaanza kujionea matokeo

G. Habash hatunaye pombe kali, Prof Jay kaponea chupuchupu siku 462 hospitalini alcohol

Wote hao walianza kuona madhara kwenye 40+
​
 
Inasikitisha sana watu hawajali afya zao

Unajua vijana wengi nguvu za ujana zinawadanganya sana

Wanabwia alcohol na pombe kali wanavyoona wana nguvu za ujana wanadhani hakuna madhara

Ngoja sasa wakianza kugonga 40+ hapo ndio wanaanza kujionea matokeo

G. Habash hatunaye pombe kali, Prof Jay kaponea chupuchupu siku 462 hospitalini
​
sasa cha ajabu apo kwa mbunge bwege amesema anataka kuchukua figo ya mtoto wake
 
UKo vzr kwenye kuzoom...😃😃😃
Sio kuzoom wa kwetu hiyo ipo tu paja la binadamu mwenye afya , chini karibu na maungio ya goti kunatakiwa kuwe na herufi v akisimama na migawanyo miwili kwa pembeni sio paja linakua la mviringo kama chupa ya shampen
 
Mi boss mkulima, yaani shamba ni kuelekeza kwa vidole tu,kama kazi yako ni kufyatua tofali,saidia fundi,mcheza mpira,riadha,ndondi..yaani kama unakata calories za kutosha kazini,huhitaji mazoezi
Kweli mkuu maana mi kwa sasa nipo hapa keko magurumbasi kazi yangu ni kuchomelea vyuma yaan welding
 
Back
Top Bottom