gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Mmh,mwenzaanguu!!Unamiliki ndambi kama ya Kingwendu?
Mmh,mwenzaanguu!!Unamiliki ndambi kama ya Kingwendu?
Ok,kazana na soda na chipsMimi chips mayai siachi, soda siachi na kubeba chuma na kutembea umbali mrefu siachi ndio mazoezi yangu.
At this 36 now, uzito wangu ukizid sana ni 75kg
Unazijua 10km lakiniMi kila siku natembea 10km
Siyo ndefu kama unavyodhani,nina tracking apps zinapima umbaliUnazijua 10km lakini
Hapana,halo mbaya, sukari, pressure,stroke etc nyingi sana kitasManatisha watu tu
Hapana,chini ya hapo kwa mwendo wa kawaidaHivi km 14 kwa baiskeli si lisaa tu
Nakqzana na vyote hapo nilivyokutajia mkuu. Halaf sio nakazana, ndio maisha yanguOk,kazana na soda na chips
Mi mwenyewe umri huo nilikua kama wewe, pepsi saana,chips...vishahawa kidoogoo na matatizo mengine juuNakqzana na vyote hapo nilivyokutajia mkuu. Halaf sio nakazana, ndio maisha yangu
Kama mwenyeji wa darUnazijua 10km lakini
Ahahahaha...hayo matatizo mimi sina, mzigo spill wa kutoshaaaMi mwenyewe umri huo nilikua kama wewe, pepsi saana,chips...vishahawa kidoogoo na matatizo mengine juu
So kweliAhahahaha...hayo matatizo mimi sina, mzigo spill wa kutoshaaa
eh! Salama au ndo uvivu zaidiKutembea ni zoezi salama zaidi kuliko kukimbia..
I swearSo kweli
kama unaweza kukimbia inakua umetisha sana
Siyo uvivu mkuu..eh! Salama au ndo uvivu zaidi
hapana mkuu, unavozidi kuforce mwili kufanya kazi nguvu misuli huchanika na kuunda mingine imara zaidi hivo kutengeneza ukakamavu ndo maaana unaona wanajeshi wanapasua mpaka matofali ama wachezaji mpira wanavokimbia dakika 90, jitahidi sana uwe mtu wa mazoezi uzee wako utakshukuru sanaSiyo uvivu mkuu..
Kutembea ni salama Kwa Joints.. Too much jogging huja kuleta matatizo ya Joints as you age.
Inasadia nini etiMi kila siku natembea 10km
Haiko sawa hyo sababu km 10 ni kutoka magomeni kagera mpka kimangaSiyo ndefu kama unavyodhani,nina tracking apps zinapima umbali
why iwe too much jogging, everything thing too much is harmful.Siyo uvivu mkuu..
Kutembea ni salama Kwa Joints.. Too much jogging huja kuleta matatizo ya Joints as you age.