Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

Hapana,mwili wa kawaida tu, nashangaa nashindwa vingi kwa haraka, baiskeli 1990s nilikua naendesha 30km nikiwa swaumu na fresh tu,dar imeniharibu sana!
1990s hadi sasa ni karibia miaka 30 mkuu, misuli huwa inapungua na umri..kula vyakula vya protini kujenga misuli
 
anza kidogo kidogo mfano:
wiki hii kutembea dakika 10, after 2 weeks unaongeza maybe 20 then unaanza kukimbia
also add zile kata tumbo nazo, pushups ivo ivo kidogo kidogo kufit ratiba yako

you will be so healthy na msosi usile sana maviwandan, si unaona jamaa apa alikatwa mguu saahv anataka figo kutoka kwa mtoto wake

View: https://www.youtube.com/watch?v=-D01NNHBWyU&pp=ygUMbWJ1bmdlIGJ3ZWdl

kwa huu mwili nlonao sina haja ya kuufanyia mazoezi labda kama kuna kingine,,sasa kilo zenyewe 52 unataka niweje🤣
 
kwa huu mwili nlonao sina haja ya kuufanyia mazoezi labda kama kuna kingine,,sasa kilo zenyewe 52 unataka niweje🤣
mazoezi sio kilo tu, unakimbia dam haikai sehem moja inazunguka kama kulikua na mafuta yamegandia sehem yanatibuliwa pia kuna sukari inakua level nzuri, hio ya kilo sana sana uende gym
 
mazoezi sio kilo tu, unakimbia dam haikai sehem moja inazunguka kama kulikua na mafuta yamegandia sehem yanatibuliwa pia kuna sukari inakua level nzuri, hio ya kilo sana sana uende gym
ayo mafuta yanayeyuka nkienda kuzurula,nkiwa na pilika za hapa nyumbani nk........
 
Unakuta mtu ana bonge la tumbo,acheni soda,chips, fanyeni mazoezi,najuta!
Kuna dogo ni ajira mpya pale ofcn niwa 95, ni kipande cha mtu, jana akasinzia aisee alikuwa anakoroma km anakata roho, ht pumua yake wakt amepitiwa na kausingiz unajua kbs hp mwili huu ndio tatizo.

Jion kbs nikamweleza kuwa ss tuna utaratibu wa mazoezi J4 na Alhamis lkn hakupokea positively....ninachotaka kusema hp ni kwamba vijana wengi wamebweteka sn hawataki kufanya mazoezi jambo ambalo ni hatarishi sn kiafya!!
 
ayo mafuta yanayeyuka nkienda kuzurula,nkiwa na pilika za hapa nyumbani nk........
aisee usichukulie poa mazoezi utakuja kuyakumbuka sku, ubaya ni magonjwa yake yakishakukaa vizuri hauedi kutibiwa bali kuomba kiungo
 
Back
Top Bottom