kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 10,617
- 17,620
Kimbis tu km chache chacheSema kunyanyua vyuma vizito sana nako kuna leta shida , nilishapata tatizo nikaliwahi mapema now nimejifunza kitu.
Kimbis tu km chache chacheSema kunyanyua vyuma vizito sana nako kuna leta shida , nilishapata tatizo nikaliwahi mapema now nimejifunza kitu.
Naunga mkono,ili uwe na uwezo wa kupambana na watekaji.kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandika
aisee pole sana, tusisitize sana watu wafanye mazoeziSahihi,mwezi Jana nimempoteza jamaa yangu alikuwa anakaa tuu bila kuchangamsha mwili kama kutembea kwa miguu,kulimalima, push-ups nk,kisukari kikapanda hadi kumpofusha macho!
Sasa usipofanya mazoezi ujanani utaweza uzeeni?Mazoezi ni kwa kila rika na kwa wakati wote wa maisha
Ndio maana nikasema ni kwa kila rikaSasa usipofanya mazoezi ujanani utaweza uzeeni?
acha uvivu kimbia?Mi kila siku natembea 10km
Kutembea ni zoezi salama zaidi kuliko kukimbia..acha uvivu kimbia?
mbunge bwege tayar ashakatwa mguu anasubiria kupata figo kutoka kwa mtoto wakeSahihi,mwezi Jana nimempoteza jamaa yangu alikuwa anakaa tuu bila kuchangamsha mwili kama kutembea kwa miguu,kulimalima, push-ups nk,kisukari kikapanda hadi kumpofusha macho!
kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandika
Aisee! Pole mkuu.Nikikimbia 2km goti linaanza kuuma tu,sijui shida nini
Hali ni mbaya sana!mbunge bwege tayar ashakatwa mguu anasubiria kupata figo kutoka kwa mtoto wake