Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

Ulikuwa mdogo.
Anhaa,then kama nilikuwa mdogo wakati akili zimenijia 1991 huko na sikuona vijana wakilala asubuhi wakiamka wamekufa,pressure zimewaandama sukari etc basi wewe mwenzangu utakuwa unazumgumzia zamani ya 1966s huko.
 
Hatua efu 8 unaenda Morogoro
Hahaha mkuu
Screenshot_2025-07-04-14-41-40-284_com.mi.health.jpg


Unaona hizi,toka kumekucha nimeshatembea hatua 9K+ kwa hiyo mimi nimeshapita Morogoro mzee?na ndiyo kwanza saa nane bado jioni nina 10km za kukimbia.
 
Mazoezi ni kupoteza muda maana mazoezi hayaongezi umri wa kuishi zaidi yanapunguza
 
Tanziania ni mojawapo ya nchi zenye ratio mbovu ya daktari kwa wagonjwa, wastani wa Daktari 1 kwa wagonjwa 20,000 badala ya Daktari 1 kwa wagonjwa 10,000 kama inavyopendekezwa na WHO kwa nchi zinazoendelea.
ChoiceVariable
Tanzania ni Nchi inayoendelea
 
kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandika
Sahihi,mwezi Jana nimempoteza jamaa yangu alikuwa anakaa tuu bila kuchangamsha mwili kama kutembea kwa miguu,kulimalima, push-ups nk,kisukari kikapanda hadi kumpofusha macho!
 
Unafanya kazi 16 hrs?..kazi gani ya kitumwa hiyo?
Unalala 8 hrs kwa mtaji huo una 16 hours za kuwa macho. Kati ya hizo 16, 9 ni za kazi. Bado 7 tu. Kuna kula asubuhi 1 mchana1 na jioni 1 hapo tumtoa 3 bado nne tu.

Nakimbia 2KM kwa 25Minutes, hivyo 10 Km utakimbia 125minutes ambazo ni two hours.

Niishie hapo
 
Unalala 8 hrs kwa mtaji huo una 16 hours za kuwa macho. Kati ya hizo 16, 9 ni za kazi. Bado 7 tu. Kuna kula asubuhi 1 mchana1 na jioni 1 hapo tumtoa 3 bado nne tu.

Nakimbia 2KM kwa 25Minutes, hivyo 10 Km utakimbia 125minutes ambazo ni two hours.

Niishie hapo
2km 25minutes,unakimbia unatambaa!?..unaonekana hufanyi mazoezi...
Fanya kazi saa 8,lala saa 8,zilizobaki mazoezi na kupumzika
Huwezi kimbia 2km kwa 25mins...
 
asali ni natural sugar, nyama japo sio nzuri sana ila hawakai ofisini
Mwambie wamasai wanakunywa dawa za kienyeji kila siku,hizo nyama zenyewe huwa wanakula na dawa,mmasai atengeneze supu bila dawa ,never
 
Unafanya mazoezi njaa inakuuma alafu unakua hauna uelekeo wa kutafuna utasimulia wachawi
 
Back
Top Bottom