Kama Bagonza ameona mema ya Magufuli mimi ni nani!?

Kama Bagonza ameona mema ya Magufuli mimi ni nani!?

Hakuna mtu aliyetishwa na JPM au kufundishwa kusifia watu walijitahidi kwenda na kasi yake sasa kwa kuwa hawakuzoea walijikuta wanahofu mda wote kama sio kuishiwa pumzi. Utawala wa JPM ulikuja na mabadiliko makubwa ya kiutendaji hakutaka maneno yeye alihitaji matokeo hivyo kwa wale ambao waliyashuhudia haya matokeo chanya tena kwa muda mfupi nao hawakusita kumpongeza hadharani, na kwa wale ambao hawakupenda hayo matokeo kwa sababu ya itakadi zao za kisiasa hawakusita kumzodoa hadharani tena hata kumkosea heshima ndipo sasa hatua zilipochukuliwa dhidi yao wakalalamika anawaonea na kuwanyima uhuru wakuzodoa.
 
Iliwabidi tu deep state wamuondoe kwa maana kichaa ndo kilikuwa kimepanda kichwani.
Hii nchi haiwezi kuongozwa na mwendawazimu... Isikilize tena interview ya Antony Diallo.

Hii nchi ilikuwa imefikia pabaya
Imagine Jpm alikuwa anagawa pesa barabarani kama za kwake yaani.
Alikuwa anatumbua watu on the spot kama hana akili timamu.
Mahali ambapo ilibidi deep state wamchukulie serious wamuandalie special mission ni baada ya kutaka kutawala milele.
KUMBE ndo hivyo. Sioni kitu serious hapo cha kufanya auwawe, labda kama kuna mengine zaidi.
 
Usitegemee magu alifanya ubaya kilasehemu wapambe hawakua sahihi kwake na Kama inavotokea kwa Samia mama wawatu
 
ukiwa na akili mbovu huwezi kumwelewa Bagonza, nisikitike kukuambia kuwa umetoka kapa hujaelewa kituuu
hahaha!!! Kwa maneno yako tu ndio yaniaminishe unachokiamini?
Narrow minded kama wewe kwa sentensi wazi kama hiyo unahitaji
ujinga uliotukuka kushindwa hata kukubali kilichoandikwa.
 
Ameumbwa kwa mfano wake.

Ndugu mstari kamili wasema hivi:

"Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi". Mwa 1:26-28​

 
Back
Top Bottom