love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
- Thread starter
- #81
Uwezo wako wa kufikir unapoishia mimi ndio unaanzia..Unapoleta mjadala nyakati nyingine usije na majibu yako kabisa au utegemee watu waitike tu Ameen!Jifunze kujifunza.Upana wa fikra.Hii tabia yako unayoonesha unajiweka dhalili.Halafu una-panic haraka na kuanza maandiko yenye ubishi tu.
Kama uko biased na irrational kwa maneno bayana kama hayo huniwezi.