love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
- Thread starter
- #61
Na wewe tunga ya kwako.Nimekueleza,upende kuelewa unachoelezwa na wala si kutunga ya kwako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe tunga ya kwako.Nimekueleza,upende kuelewa unachoelezwa na wala si kutunga ya kwako!
Hawa ni wakuliwa vichwa.Kuna watu wanataka Taifa liwe na maendeleo huku tukichekacheka na kuwababy care wapumbavu na wajinga....
Na wewe tunga ya kwako.
Na sio lazma kunichagulia namna ya kuelewa bagonza aliyosema.Hakuna ulazima na wala si lazima.
Duu..!!! Swali la kiphilosofia mkuu.. heshima kwako...Mungu ameua watu wangapi!!?
Huku amerika tunajua sababu ya kifo chake ni covid-19.na so vile udhaniavyo,ondoa fikra mbofumbofu kichwani kwako.Màgufool alikuwa na ujasiri wa kiwendawazimu ndio maana ikabidi wenye CCM yao wampokonye uhai
😀😀Mbona wewe mzima unauza mbege na kisusio?!!
Pimamaji yako haina maji ndiyo maana asilimia kubwa ya wachangiaji wanakurekebisha ili unyooshe mapito.Hawakufundishi bali marekebisho.Hata hivyo,usilie.Ungeweza kukaa tu na uzi wako chumbani mwako huku unausoma na kujichekea mwenyewe.Na sio lazma kunichagulia namna ya kuelewa bagonza aliyosema.
Na sio lazma kunichagulia namna ya kuelewa bagonza aliyosema.
Kati ya watu wanne mmoja anakichaa na wewe ni mmoja wapo sishangaii!Pimamaji yako haina maji ndiyo maana asilimia kubwa ya wachangiaji wanakurekebisha ili unyooshe mapito.Hawakufundishi bali marekebisho.Hata hivyo,usilie.Ungeweza kukaa tu uzi wako chumbani mwako huku unausoma na kujichekea mwenyewe.
Wewe uneokoteza vi qoutes mtandaoni huko. Unakuja kutafsiri upuuzi hapa.Walimu walipokuwa wanapima listening skills hii ndio maana yake.
Pole kwa kuwa na poor listening skills.
Mbona mimi ni "mchizi-fresh" kitambo sana tu.Isipokuwa sina faili Milembe.Kati ya watu wanne mmoja anakichaa na wewe ni mmoja wapo sishangaii!
Mmefika wawili.
Hahaha!!! interview nzima ndio nin?Wewe uneokoteza vi qoutes mtandaoni huko. Unakuja kutafsiri upuuzi hapa.
Interview nzima Dr. Bagonza alielezea vizuri namna system ilivyoharibiwa na JPM. Na akaonyesha umuhimu katiba mpya kuzuia tusije kuongozwa na kichaa sampuli ya jiwe akaja akawapa kazi ya ziada deep state kumuondoa.
Hata huo ni uthubutu.Jitafakari sana unapoambia umefanya vizuri kuthubutu kutokuvaa nguo; tumejua na mengineyo mengi.
Unajuaje kama hunafaili kama huna akili..Mbona mimi ni "mchizi-fresh" kitambo sana tu.Isipokuwa sina faili Milembe.
Unapoleta mjadala nyakati nyingine usije na majibu yako kabisa au utegemee watu waitike tu Ameen!Jifunze kujifunza.Upana wa fikra.Hii tabia yako unayoonesha unajiweka dhalili.Halafu una-panic haraka na kuanza maandiko yenye ubishi tu.Hahaha!!! interview nzima ndio nin?
Na system ndio nini?
Kichwa panzi.
Na wewe usilazimishe nielewe kama ambavyo unatamani nielewe kichwa panzi sawa!?Unapoleta mjadala nyakati nyingine usije na majibu yako kabisa au utegemee watu waitike tu Ameen!Jifunze kujifunza.Upana wa fikra.Hii tabia yako unayoonesha unajiweka dhalili.Halafu una-panic haraka na kuanza maandiko yenye ubishi tu.
kama walimpokonya wana laana
Kwa hiyo unataka tukusaidie kubaini uthubutu upi una tija??Hata huo ni uthubutu.
Kama uwezo wako wa kufikiri ulipoishia.
Kaoshe vyombo!😝😝😝😝Na wewe usilazimishe nielewe kama ambavyo unatamani nielewe kichwa panzi sawa!?