GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
" Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.Genta bwana una superioty complex sijui huko unakoishi unakaa na vilaza then wewe ndio unajiona una akili sana.π π
Mkuu Joka, kuna sehemu tatu za suala la Spika na Team Halima..tatizo sio viongozi wa Cdm.
..tatizo ni kwamba wako baadhi ya watu wako juu ya sheria.
..sheria nchi hii ina-apply kwa baadhi, wakati wengine hawaguswi.
π€£π€£manic mind." Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
Unaweza kuthibitisha hizi Tuhuma zako?Huyu ndio miongoni mw awasiojulikana. Anajitahidi kuunga mkono Mama lakini nafsi inamkatalia.
Pole sana mkuu Kama unajisifia asubuhi yote Kuna mahali Kuna shida.." Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
Ila 24/7 unamfuatilia tu hapa JF. Idiot!!!!!Ni mlopokaji tu hanaga jipya miaka yote.
Unataka nijisifie ukiwa unatiwa Mimba?Pole sana mkuu Kama unajisifia asubuhi yote Kuna mahali Kuna shida..
Like the one who gave birth to You Nut.π€£π€£manic mind.
CHADEMA mkiwa madarakani mtatuletea Katiba au mnaongeongea tuWamegomea katiba mpya, wamegomea tume huru ya uchaguzi, huko mbeleni naona kutaibuka makundi ya kigaidi, yataanza mdogo mdogo, Kama vikundi vya kidini, lakini vikibeba madai ya kisiasa.
CCM haitoki madarakani kilaini
Hapa ndio naona pointi muhimu.Kwa aina ya Uzungumzaji ule wa Spika Ndugai na ukiiangalia na 'body language' yake ( tena huku akijiamini kabisa ) tusifichane hapa ni lazima tu kutakuwa na Shida Kubwa ya 'Kiutendaji' kwa CHADEMA ila 'inafichwa' ama 'inafunikwa' tu kwa Mgongo wa Mapungufu ya Serikali na Chama Tawala chake cha CCM.
kwani wewe ulishajifungua tokea siku ile tulipokutana pale kiliniki tukiwa tunapima?Huyu ndiyo Kakuzalisha wale Mapacha?
Anachosimamia hicho hapoKwhy miaka 5 ya uspika wa ndugai amesimamia nn cha maana Kama sio kupoteza muda na akina Lema ..Ni kiongozi wa hovyo never ever happen under strong institution as parliament
Muda ndio mwalimu mzuri mtaelewa tuAnachosimamia hicho hapo
Mwisho wa siku bwana ndugai ndiyo ataonekana mjinga. Mwaka jana tu hapa alikuwa anamnanga halima mdee na kumfungia mwaka mzima! Mwaka huu anaona umuhimu wa wanawake???Hata mimi sijawahi kuona duniani, ina maana hamuamini Katibu Mkuu wa Chadema? Haamini kama walikaa vikao? Ya nini kuomba viambatanisho vyoote hivyo wakati kinachotakiwa ni barua tu! Au na barua nyingine za kiofisi ni lazima kila kitu kiwe na viambatanisho kama ripoti?
We Kamanda. Spika sio msajiri wa kukaa na katiba za vyama.Ndugai arudi Mirembe. File lake lipo kule.
Hivi kuandika barua kwake ni lazima uweke attachments zote hizo?
Yeye kama speaker anaesimamia wabunge wa vyama vyote ndio mwenye kutakiwa kuwa na katiba za vyama vyote ili ikija barua aweze kupekua na kuona je hao walioandika barua wako sawa au la.
Suala la kusema CHADEMA waambatanishe mambo kibao kwenye barua ni ujinga na haijawahi kutokea duniani.
Hiyo sio "report" ni barua. Mwambieni ajifunze kutofautisha.
Unaijua katiba au unachangia kichadema? Bunge ni muhimili na hakuna ambacho Rais wala mtu yeyote anayeweza kuliamlia. Poleni sana madalali.Yaonekana una hamu tu ya kujipa furaha hewa.
Ndugai sasa hivi anababaika kwani alitegemea sana uwepo wa Jiwe kulinda takataka zake kama alivyozoea na kujidekeza.
Covid 19 hawakupendekezwa na CHADEMA. Utaratibu mzima na sheria zake viko wazi na havikufuatwa kabisa.
Huko ndiko swala lenyewe linakoanzia.
Mengine hayo ni muendelezo tabia zake mbaya, ambazo ziliendana kabisa na tabia za mungu wa Burigi aliekuwa anapata furaha na usingizi mwema kwa kukomoa na kukandamiza watu kwa kusigina katiba.
Hili bunge sio mali yake kiasi cha kujivuna hadharani kuwa hapangiwi wala hatakiwi kuongozwa. Hayuko juu ya sheria za nchi.
Kama Mama atarithi na kukubali kuendeleza uvunjaji huo wa katiba atakuwa ameanza kujichafua kitu ambacho sikitegemei sana.
Ninapenda kuamini kuwa atatafuta namna ya kulitatua kabla halijamfikisha pabaya. AMEN
Kihalali jana kidogo ndugai nilimuelewa, Nikweli kua hawezi kuamua mtu moja au wawili kua huyu hatumtaki kwenye chama. Alicho kisema ni kua lazima waonyeshe procedures zilizofuatwa hadi kufikia uamuzi huo. Ni vikao kadhaa vilikaa kwa mujibu wa katiba yetu na viliazimia kuwafuta uanachama wanachama wetu hawa kwa kuwa wametenda makosa haya mbona ni kitu kirahisi tu?Ndugai arudi Mirembe. File lake lipo kule.
Hivi kuandika barua kwake ni lazima uweke attachments zote hizo?
Yeye kama speaker anaesimamia wabunge wa vyama vyote ndio mwenye kutakiwa kuwa na katiba za vyama vyote ili ikija barua aweze kupekua na kuona je hao walioandika barua wako sawa au la.
Suala la kusema CHADEMA waambatanishe mambo kibao kwenye barua ni ujinga na haijawahi kutokea duniani.
Hiyo sio "report" ni barua. Mwambieni ajifunze kutofautisha.
Mhimili hauna uhuru wa kuvunja katiba hilo halina kisingizio. Hakuna aliye juu ya katiba na sheria za nchi.Unaijua katiba au unachangia kichadema? Bunge ni muhimili na hakuna ambacho Rais wala mtu yeyote anayeweza kuliamlia. Poleni sana madalali.
Nyie saccos mmetii katiba ya kikoba chenu? Kwanini basi msiitishe baraza kuu kusikiliza rufaa? Kwanini mnalazimisha maamuzi kwa Spika bila kuitisha baraza kuu? Mnaogopa nini kuitisha baraza kuu?Mhimili hauna uhuru wa kuvunja katiba hilo halina kisingizio. Hakuna aliye juu ya katiba na sheria za nchi.
Yaonekana ulishazoezwa kuchezea katiba na anaewania umalaika mkuu ndio maana unaendelea kuwa kichekesho.
Jitahidi tu ukiacha tuisheni ya Polepole utaweza kuielewa vizuri na huko mko wengi mliyoathirika na deko.