Kama biashara sawa kama utoto wa mjini WCB hamuwezi


Mkuu umeandika waraka huu, insha hii kwa clouds na wasafi???? kisa bifu??

yaani mmechukua bifu too personal mpaka mnaboa

wasafi ni ya kusaga, clouds ni ya kusaga

sasa kusaga anajichukia yeye??? mbona hamna akili??

hawa wote ni waajiriwa wa mtu mmoja, na wanafanya lolote hili kutengeneza hela na wampate boya kama wewe ambaye unaandika nyaraka ndeeeefu kisa bifu la watu waliolitengeneza???? nani kawaroga?
 
Kama HUMPEMDI MTU HUSIMFUATILIE ATAKUUMIZA na KUKUKERA.
Diamond kwenye playlist yangu nyimbo zake nyingi zipo na ninakubali hustle zake na pia sina tabia ya kumchukia mtu hususani ambaye hata sijuani naye.
shida ni nyie mashabiki mandazi wa Diamond mnateseeeka usiku hamlali.
 
msamhehe bure huyo kijana kazaliwa 1989 na hapo anavyoandika yupo amelala kwenye kochi kwa shemeji yake huko Buza.
 
Cha msingi mawingu angeacha kumtupia vijembe mond kwanza wanavyompa vijenge ndivyo wanavyompa nguvu zaid ya kupambana,wangekuwa kama ipp hawana muda na mond hata afanye nn
 
Wale wale wanazani hatuwaoni kupitia comment zenu,kama humpendi mtu husimfuatilie atakuumiza na mtazidi kuumia

Wasafi Brand ya Diamond,Wasafi Radio ni brand inayotumia brand ya Diamond (47%) na uwekezaji wa Mrs Kusaga (53%) ,so at the end of the day ni Business kama Jordan na Nike.
 
Cha msingi mawingu angeacha kumtupia vijembe mond kwanza wanavyompa vijenge ndivyo wanavyompa nguvu zaid ya kupambana,wangekuwa kama ipp hawana muda na mond hata afanye nn
wanaompinga vijembe ni baadhi ya wafanyakazi wa clouds kina soudy brown ambao kazi yao kila mmoja anaifahamu ni umbea usio na madhara, ila kwa upande wa WCB wanaofanya kazi ya vijembe ni Diamond mwenyewe na mameneja wake wameshindwa kuvumilia kama wako frustrated hivi.
 
Hofu yangu tu watu kuhama kwenye ushindani wa biashara wakaja nje ya biashara kwa kudhuriana, hiyo ndio hofu yangu ndio maana tunatoa angalizo uko wasafi yupo mtu mmoja tu ndio anaibeba uyo mtu likitokea lakumtokea wanapoteana wale
Is this a direct threat?
 

Sema nini yule salam sk nae anapenda sana majungu
 

Ndio akili inakuja sasa?
 
akili inakurudi taratibu.
 
Ila WCB wamefanya baadhi ya nyimbo za wasanii (tena nyimbo kali tu) kutosikika mtaani.

Jana nipo YouTube nakuta kuna wimbo wa Young D/Jay Moe/Mr Blue unaitwa Jaji Kitaa (kama sijakosea).

Tena mkali tu ila No trending, wala sijasikia mtu kauongelea. Wakati WCB wakitoa wimbo kila mtu atausema ata kama mbovu.

Wasafi ni Taasisi kubwa sana. Na kwa sasa nadhani ndio talk in town kila sehemu. Waitumie vema hii nafasi.

Ila Watanzania tusiwasahau na wasanii wengine kuwapa support jitihada zao.
 
Mbabe wa MAWINGU alikuwa Ruge... Huyu ndio kaondoka na Clouds tuliyoijua kwa fitina na ubunifu wa biashara kwenye tasnia ya sanaa
Na kwa Mondi ni vema akamuandaa mrithi kuna wakati atachoka@REJESHO HURU,
hakika,,succession plan ni moja katika ya bussiness strategy muhim sana if u want to go far
 

Ndio akili imekuja?
 
Diamond kaajiliwa na Nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…