joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Nani ana jazba?,umeulizwa swali ukajibiwa kwa swali.hahaha punguza jazba.
usipanic, punguza jazba. 🤣 🤣 🤣Nani ana jazba?,umeulizwa swali ukajibiwa kwa swali.
Nani kapanic?usipanic, punguza jazba. 🤣 🤣 🤣
relax acha hasira za kike 🤣 🤣 🤣Nani kapanic?
Kama kuongea fact ndio kupanic basi sawa,ila husiye mpenda husimfuatile ata kukera kama wewe unavyo kereka.relax acha hasira za kike 🤣 🤣 🤣
UnajuaTatizo la Clouds wanajishtukia na tatizo lao kubwa hawampendi Diamond,wanatamani kumwona anatetereka lkn dogo haanguki kila siku anazidi toboa.Usifanye msihala kufanya show ktk nchi za Anglophone as a Main Act.
Yeye mwenyewe alishasema wasipige nyimbo zake na wa simfiatilie.Kafanya Wasafi Festival kesho Asubuhi Soudy na Diva wanaanza kuponda,WCB wamemchunia.Haya show ya jana huko Gunea baada ya kuwa na mafanikio makubwa mara akina Soudy na Diva,show kingililio kilikuwa bei rahisi,mara wasanii walikuwa wengi hakuwa peke yake,wamesahau wao washaandaa show kibao zina wasanii kibao lkn zinakuwa na MAIN ACT,basi waelewe tu japokuwa itawaumiza Gunea kwa mujibu wa waandaaji MAIN ACT alikuwa Diamond Platnumz.
Diamond mwenyewe alisema hataki wapige nyimbo zake wala kumfuatilia na wao CMG wana utaratibu wao ukikoseana nao hapigi nyimbo zako wala kukuongelea mf Lady Jay dee.Lady Jay dee kishafanya matamasha kibao lkn hawampigi vijembe Why Diamond?
Kwa kifupi jamaa wamemshinda,walilolitegemea litokee kwa Mondi halijatokea na kila siku anfanya vizuri.
Cha Msingi CMG waache kumfuatilia Diamond kwani wakiendelea kumfuatilia watazidi kuumia na kukereka,Diamond kila siku ana achieve kitu kipya kikubwa ,mwezi huu tu ana show ktk nchi zaidi nne za Anglophone as Main act.Wao waendelea na mambo yao Mondi nae anaendelea na mambo yake.
Swala Kwamba Mondi akianguka WCB ina anguka hayo ni ya mbele tumwachie Mungu,unaweza ukatabiri kuanguka kwa Mondi hujui kesho Clouds ikaanguka Mondi akaendelea kusimama.Kuna watu walikuwa wanamiliki kampuni kubwa tu zinazoingiza mabilioni ya shilingi Duniani lkn yaka anguka so yote yanawezekana.
Cha msingi wawe kama EA TV na Redio wao Mondi hata afanye vizuri au vibaya hawampigi vijembe wala hawamfuatilii kwa kifupi hawana time na Mondi.
Sasa wewe humpendi Mondi,hupigi nyimbo zake BADO UNAMFUATILIA kuanzia mziki wake mpaka event zake,alafu unategemea afeli kumbe unalolitegemea halimpati zaidi ya dogo kufanya vizuri na hiki ndicho kinawaumiza Clouds na WATAENDELEA kuumia.
SO KAMA HUMPENDI MTU HUSIMFUATILIE NA WALA HUSIMPE TIME YAKO.
Shida ni kwamba wcb ni part of kusagas kwahiyo wakiamua kummaliza Diamond is just a clickTatizo la Clouds wanajishtukia na tatizo lao kubwa hawampendi Diamond,wanatamani kumwona anatetereka lkn dogo haanguki kila siku anazidi toboa.Usifanye msihala kufanya show ktk nchi za Anglophone as a Main Act.
Yeye mwenyewe alishasema wasipige nyimbo zake na wa simfiatilie.Kafanya Wasafi Festival kesho Asubuhi Soudy na Diva wanaanza kuponda,WCB wamemchunia.Haya show ya jana huko Gunea baada ya kuwa na mafanikio makubwa mara akina Soudy na Diva,show kingililio kilikuwa bei rahisi,mara wasanii walikuwa wengi hakuwa peke yake,wamesahau wao washaandaa show kibao zina wasanii kibao lkn zinakuwa na MAIN ACT,basi waelewe tu japokuwa itawaumiza Gunea kwa mujibu wa waandaaji MAIN ACT alikuwa Diamond Platnumz.
Diamond mwenyewe alisema hataki wapige nyimbo zake wala kumfuatilia na wao CMG wana utaratibu wao ukikoseana nao hapigi nyimbo zako wala kukuongelea mf Lady Jay dee.Lady Jay dee kishafanya matamasha kibao lkn hawampigi vijembe Why Diamond?
Kwa kifupi jamaa wamemshinda,walilolitegemea litokee kwa Mondi halijatokea na kila siku anfanya vizuri.
Cha Msingi CMG waache kumfuatilia Diamond kwani wakiendelea kumfuatilia watazidi kuumia na kukereka,Diamond kila siku ana achieve kitu kipya kikubwa ,mwezi huu tu ana show ktk nchi zaidi nne za Anglophone as Main act.Wao waendelea na mambo yao Mondi nae anaendelea na mambo yake.
Swala Kwamba Mondi akianguka WCB ina anguka hayo ni ya mbele tumwachie Mungu,unaweza ukatabiri kuanguka kwa Mondi hujui kesho Clouds ikaanguka Mondi akaendelea kusimama.Kuna watu walikuwa wanamiliki kampuni kubwa tu zinazoingiza mabilioni ya shilingi Duniani lkn yaka anguka so yote yanawezekana.
Cha msingi wawe kama EA TV na Redio wao Mondi hata afanye vizuri au vibaya hawampigi vijembe wala hawamfuatilii kwa kifupi hawana time na Mondi.
Sasa wewe humpendi Mondi,hupigi nyimbo zake BADO UNAMFUATILIA kuanzia mziki wake mpaka event zake,alafu unategemea afeli kumbe unalolitegemea halimpati zaidi ya dogo kufanya vizuri na hiki ndicho kinawaumiza Clouds na WATAENDELEA kuumia.
SO KAMA HUMPENDI MTU HUSIMFUATILIE NA WALA HUSIMPE TIME YAKO.
punguza jazba 🤣Kama kuongea fact ndio kupanic basi sawa,ila husiye mpenda husimfuatile ata kukera kama wewe unavyo kereka.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na kusagaDiamond kaajiliwa na Nani?
Mondi Taasisi hata Kusaga hana ubavu wa kumshusha Mondi,Kusaga anajua impact ya brand ya WASAFI ktk biashara.Unajua
Shida ni kwamba wcb ni part of kusagas kwahiyo wakiamua kummaliza Diamond is just a click
Kama mtu humpendi usimfuatilie mwisho wasiku ata kukera tu.punguza jazba 🤣
relax acha hasira.Kama mtu humpendi usimfuatilie mwisho wasiku ata kukera tu.
Kama mtu humpendi usimfuatilie mwisho wasiku ata kukera tu.relax acha hasira.

Hamna kitu Kama hicho wasafi is just a business name Kama ilivyokua choice fm Sasa wanaita classic fmMondi Taasisi hata Kusaga hana ubavu wa kumshusha Mondi,Kusaga anajua impact ya brand ya WASAFI ktk biashara.
Diamond akisema brand yake ya WASAFI usitumike pale Wasafi TV na Radio,basi TV na Radio hamna kitu.
Diamond karanga si mlisema ya Kusaga na wale wahindi,Mondi kakataa kuongeza mkataba,je Diamond karanga unaziona mtaani.?
Usione Nike wajinga kumng'ang'ania Jordan,Jordan akisema Nike wasitumie brand yake ,Nike mauza ya viatu,nguo yata poromoka.
Zipo karanga fresh fwatilia vizuriMondi Taasisi hata Kusaga hana ubavu wa kumshusha Mondi,Kusaga anajua impact ya brand ya WASAFI ktk biashara.
Diamond akisema brand yake ya WASAFI usitumike pale Wasafi TV na Radio,basi TV na Radio hamna kitu.
Diamond karanga si mlisema ya Kusaga na wale wahindi,Mondi kakataa kuongeza mkataba,je Diamond karanga unaziona mtaani.?
Usione Nike wajinga kumng'ang'ania Jordan,Jordan akisema Nike wasitumie brand yake ,Nike mauza ya viatu,nguo yata poromoka.
Simchukii Diamond anatafuta rizki yake na maneno hayawezi kumzuiya kufikia mafanikio yake.
Tatizo liko kwa nyie mashabiki mandazi mnatokwa mapovu weeeee ila anayeingiza pesa kwenye both radio anabaki kuwa Kusaga.
Ndio maana yake na lina nguvu ktk entertainment Industry,ndio maana ni rahisi kupromote bidhaa yako kupitia brand ya WASAFI.Hamna kitu Kama hicho wasafi is just a business name Kama ilivyokua choice fm Sasa wanaita classic fm
Mkuu umeandika waraka huu, insha hii kwa clouds na wasafi???? kisa bifu??
yaani mmechukua bifu too personal mpaka mnaboa
wasafi ni ya kusaga, clouds ni ya kusaga
sasa kusaga anajichukia yeye??? mbona hamna akili??
hawa wote ni waajiriwa wa mtu mmoja, na wanafanya lolote hili kutengeneza hela na wampate boya kama wewe ambaye unaandika nyaraka ndeeeefu kisa bifu la watu waliolitengeneza???? nani kawaroga?
Zinaweza zikawepo lkn sokoni hazifanyi vizuri,kipindi kile wamachinga kibao wanaziuza barabarani na kwenye viosk vyao,je sasa hivi unaviona?Zipo karanga fresh fwatilia vizuri