Unajua nmesoma hii coment yako nikawaza moyoni kwamba kumbe Aliyewaita chadema nyumbu hakukosea. Mbona nyie mnategemea Mbowe pekee mkuu pale chadema?Mkuu experience ya miaka 20 sio mchezo, Ruge kafanya sehemu yake na bado wengine wanaendelea alipoishia,
hakuna taasisi inayokuwa inategemea akili za mtu mmoja tuweke tu akiba ya maneno maana hao Clouds wanachofanya leo wamekipractice for 20 years na ni team nzima sio mtu mmoja.
Unaumwa upupu boya weweWasafi Festival Vs Fiesta = Kusaga
Acha uboya DIAMOND BABA YAKODiamond kwenye playlist yangu nyimbo zake nyingi zipo na ninakubali hustle zake na pia sina tabia ya kumchukia mtu hususani ambaye hata sijuani naye.
shida ni nyie mashabiki mandazi wa Diamond mnateseeeka usiku hamlali.
very true.....Diamond Vs Clouds Media, ni mlinganisho usio sahihi, Diamond ni msanii, Clouds ni media house.
Pia kuifanya Clouds kama label ya mziki si sahihi, na hii ndio inafanya wasanii wawe wanyonge badala ya kuwa wadau ambao media yoyote inaweza fanya nao kazi.
Ulinganifu sahihi kwa Diamond uwe na wasanii wenzake au mafanikio yao kutokana na kazi zao za sanaa.
Wasanii wanatakiwa wajitambue thamani yao, wasiruhusu mtu au media kuwawekea mipaka ya ufanyaji kazi zao za sanaa.
Acha unazi basi [emoji16][emoji16], kwanza be specific wasafi gani ya kusaga? Kama ni Brand basi Diamond ndio mweny wasafi yake,kama ni media pale kuna percentage ,sasa kusaga utasemaje yake? Kwani anamilik 100%?
Yani unazi wa Wawingu mnataka kuupeleka hadi WCB? Hizi akili za Diva the bawse zimewaingia badi mashabik wa Mawingu..doh
Hahahahahahahahah Wauze hata nyanya.Halafu huyo ni mtu mzima ujue, ongea naye kistaarabu!
Eti Diamond kaajiriwa na Kusaga (kwa sauti ya kubana pua). Mnajua nguvu ya Brand nyie? Mtu anaweza asiweke hata senti tano akaweka Brand yake na mkapasua pasu shares za kampuni, acheni masihara jamani. Uzeni hata nyanya mjue struggle ya kutengeneza brand labda kidogo mtafahamu thamani yake.
Sasa redio haina mwaka unalalama inataka kufananisha na wenye miaka 20 kwenye game lakin kwa mwaka huu wamekubali shoo na mwakani watakubali zaidizaidi sana.Hofu yangu tu watu kuhama kwenye ushindani wa biashara wakaja nje ya biashara kwa kudhuriana, hiyo ndio hofu yangu ndio maana tunatoa angalizo uko wasafi yupo mtu mmoja tu ndio anaibeba uyo mtu likitokea lakumtokea wanapoteana wale