Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Unajua nmesoma hii coment yako nikawaza moyoni kwamba kumbe Aliyewaita chadema nyumbu hakukosea. Mbona nyie mnategemea Mbowe pekee mkuu pale chadema?Mkuu experience ya miaka 20 sio mchezo, Ruge kafanya sehemu yake na bado wengine wanaendelea alipoishia,
hakuna taasisi inayokuwa inategemea akili za mtu mmoja tuweke tu akiba ya maneno maana hao Clouds wanachofanya leo wamekipractice for 20 years na ni team nzima sio mtu mmoja.