Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Nimekusikia sasa jibu swali

Wewe umesema unaitumia QJV , jee
Unaiamini kuwa ni maneno ya Mungu?
Wewe tumia biblia Kati ya 1000 ulizosema unazo ,jibu swali kwa kutumia uliyonayo wewe

Pangua swali moja baada ya jingine kwa chaguo lako la biblia

Umeuliza biblia ipi natumia nimekujibu bado unarukaruka tu
Umemuuliza mtoa mada biblia ipi amekujibu na kanisa kakujibu bado unarukaruka
 
Jibu swali

Wewe umesema unaitumia QJV , jee
Unaiamini kuwa ni maneno ya Mungu?
 
Jibu swali

Wewe umesema unaitumia QJV , jee
Unaiamini kuwa ni maneno ya Mungu?
biblia sio maneno yote ni ya Mungu Kuna watu wameandika history zao na maisha Yao Kuna maneno ya Mungu moja kwa moja

Ngoja nikusaidie kijana , gusa link utakuta biblia zaidi ya 20 tumia unayotaka ujibu maswali

 
Jibu unaloulizwa , usituletee ngonjera

Wewe umesema unaitumia QJV , jee
Unaiamini kuwa ni maneno ya Mungu?
 
Jibu unaloulizwa , usituletee ngonjera

Wewe umesema unaitumia QJV , jee
Unaiamini kuwa ni maneno ya Mungu?
Nimeshakujibu biblia sio maneno yote ni ya Mungu hilo ndio jibu la mwisho,

Sasa jibu mada
 
Mimi nime anza kuku uliza wewe unatumia qurani gani.

Nijibu kwanza ili na mimi nikujibu.
Mimi sijaandika thread Nimo kuwauliza nyinyi na hivyo vitabu vyenu

Jee wewe unaiamini biblia ya QJV?
 
Nimekuuliza QJV jee unaiamini kuwa ni maneno ya Mungu?
Biblia sio maneno yote ni ya Mungu yapo ya binadamu mpaka yapo maneno ya shetani kaongea

Unachanganya biblia na Koran ndio shida Yako

Walioandika QJV waliamua kuondoa maneno yote yanayokaripia mashoga na wakaweka maneno wanayopenda wao

Sasa Rudi kwenye mada jibu maswali
 
Kwa hivyo unaiamini au huiamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…