Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua


Kwa hivyo haya maneno ya Paulo yote ni uzushi na ni uongo

Collosians2

16 Kwa hiyo msimruhusu mtu awahukumu kuhusu chakula au kiny waji, au juu ya kuadhimisha sherehe za dini, sikukuu ya mwezi mpya au siku ya sabato. 17 Maana hizi zilikuwa ni kanuni za muda tu au vivuli vya yale mambo ambayo yangekuja; lakini hakika ya mambo yenyewe ni Kristo
 


Sabato haikuwahusu watu wengine isipokuwa Waisraeli peke yao.

Pamoja na kukiri amri ya kuishika sabato kwamba ilikuwa ni ya Mungu mwenyewe kama tulivyoona hapo juu, maandiko ya Biblia yanaeleza wazi kuwa amri hiyo haikuwa na uhusiano wowote na watu wa mataifa mengine, yasiyokuwa ya Israeli. Lakini iliwahusu tu Waisraeli na vizazi vyao peke yao. Ukweli huu unadhihirishwa na maandiko yafuatayo:

"BWANA akasema na Musa, na kumwambia, kisha nena wewe na wana wa Israeli, na kuwaambia, Hakika mtazishika sabato zangu, kwa kuwa ni ishara kati ya mimi na nyinyi katika vizazi vyenu vyote, ili mpate kujua ya kuwa mimi ndimi BWANA niwatakasaye ninyi:

"Kwa ajili ya hayo wana wa Israeli wataishika sabato, kuiangalia sana hiyo sabato katika vizazi vyao vyote, ni agano la milele. Ni ishara kati ya mimi na wana wa Israeli milele; kwani kwa siku sita BWANA alikufanya mbingu na nchi, akastarehe kwa siku ya saba na kupumzika".
Kutoka 31:12-13 na 16-17.

Kwa maandiko hayo, kinachodhihirika hapa ni kwamba hakuna watu wa mataifa mengine waliopewa amri ya kuishika sabato isipokuwa wana wa Israeli na vizazi vyao peke yao. Ambapo maandiko yanaeleza vile vile kwamba sababu ya msingi ya wana wa Israeli kupewa amri ya kuishika sabato ilikuwa ni ishara ya kuonyesha uhusiano wao mwema wa utiifu katika kuheshimu na kufuata amri za Mwenyezi Mungu.
 
Hapa ndio nipo katikati ya mada KHASWWWWWWAAAAAAAA
Wewe ni Kivuruge sana tunakujua
[emoji28][emoji28][emoji28]

Mada za siku ipi ni ya Ibada zipo nyingi sana. au unaweza kuanzisha ukipenda.

Hapa tubaki kwenye mada kuu.
Kuhamisha mada ni kuondoa mantiki ya mada husika. Na kuonesha kushindwa.

Wacha kuvuruga mada za watu.
 


UMESHAELEWA KUWA USABATO NI TANGO PORI , HAKUNA HICHO KITU !!!!!!!!!!!!!!

TULIA DAWA IPENYE ; ULITAKA MADA IPI ZAIDI HII YA KUWAONYESHA BIBLIA YENU INAVYOSEMA


Biblia Inasema Yesu Kaja Kwa Waisrail Tu



Wakristo wote wanaamini kuwa Nabii Issa a.k.a Yesu kaja kwa watu wote,

Je ni kweli Bwana Yesu ametumwa kwa watu wote au na kama si kweli Biblia inasema nini kuhusiana na jambo hili...? Na ametumwa awendee nani? Hebu tuiache Biblia itueleze:

Yesu akaondoka huko, akaenda kando pande za Tiro na Sidoni. Na tazama, mwanamke Mkananayo wa mipaka ile akatokea, akampazia sauti akisema, Unirehemu, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa sana na pepo. Wala yeye hakumjibu neno. Nao wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakisema, Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu. Akajibu, akisema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Naye akaja akamsujudia, akisema, Bwana, unisaidie. akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani za bwana zao. Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.
Mathayo 15.21-28

Kwa maneno yasiotatanisha Yesu Kristo anasema kuwa yeye hakutumwa ila kwa "kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli."

Hakuwajia Waarabu, wala Wazungu, wala Wahindi, wala Waafrika, wala Machina. Kama hayo hayakutosha kuonyesha kuwa yeye hakuwajia wasio Mayahudi anazidi kufahamisha kwa mfano wa kumkata mtu kiu:

Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa." Ikiwa ipo shaka yo yote katika akili ya mtu kuwa maana ya maneno hayo ni kuwa Yesu anasema kuwa hakutumwa kwa kabila nyengine zo zote ila Waisiraili tu na atazame mwenye shaka tafsiri kubwa kabisa ya Wakristo inayoeleza maana wazi maneno ya Biblia,

The Interpreter's Bible, sahifa 441 jalada VII ambamo imeandikwa hivi:

"Yaonekana wazi kuwa Yesu hakika aliamini kuwa ujumbe wake kwanza na khasa ni kwa watu wake mwenyewe." Ndio maana alisema:
Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.

Mathayo 7.6

Mbwa na nguruwe ni watu wa mataifa yasiyokuwa wana wa Israili.

Ukristo haufai kufundishwa watu wo wote isipokuwa Mayahudi. Hayo ndiyo mawazo ya Yesu, au ya hao walioandika Injili na wakatia maneno hayo kinywani mwa Yesu.

Kama asemavyo Isaac Asimov katika kitabu chake Guide to the Bible (Uwongozi kwa Biblia):

"Suala liliopo ni nani hao mbwa na nguruwe wnaokusudiwa katika mstari huu?

Yaweza kuwa maana ya mstari huu ni kuwa haifai kufunza ukweli wa dini kwa wale wasiotubu katika kejeli zao, au wale waliozama katika madhambi, lakini hayo hayaelekei kabisa. Basi mtu amfundishe nani? Wale waliokwisha amini?

Yesu mwenyewe anakanya hayo, kwani aliposhutumiwa kuwa anachanganyika na wenye dhambi ananukuliwa kusema:

Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi.

Mathayo 9.12
 
Anzisha Mada kuhusu Nabii yupi kaja kwa watu gani.

Usivuruge Mada za Watu.
Kwa kuandika vitu nje ya Mada.
 
Muhamad kaandika kwa qurani,kasema
👉Ukiwa unatafuta kitu na ukikose kwenye Qurani ukitafute kwenye Bibilia✅💥ata yeye aliipata Bibilia na anajua ni ya kweli,Neno la Mungu💪
Kitu ingine Ata Kwenye Quran hakuna aliyezaliwa mwenye nguvu Kama Yesu ebu cheki;
Quran imeandikwa kwa kurasa Nyingi kuhusu Maria na kuzaliwa kwake Yesu,na alizaliwa na Bikra ambae hakuwahi fanya tendo la ndoa👌Yani ni maajabu🔥🔥na yeye Yesu alikuwa akifanya maajabu mpaka eti Muhammad kaandika kwenye Quran eti ni magician😂hakuelewa nguvu za Yesu🔥alitaka naye awe Kama yeye
*Usisahau Muhammad mwenyewe kakiri kuwa,aliandika kwenye Qurani mambo ambayo Allah wake hakusema🤔
Leo nasema hivi!!!!
Nitazidi kumwamini Yesu wangu ambae kwa Imani kubwa nikimtaja hivi shetani yote yanatetemeka!!!👌💥
Yesu ndio ngao langu!
 

Unaandika ,uko baa?
 
Umeshapagawa tayari baada ya kujisitukia kuwa unaongea pumba

Haya sio maelezo yako

Wizi wa Muhammad

1. Kaiba wahusika wa kwenye maandiko wa kiyahudi akawaweka kwenye Quran akadai ati ameshishiwa hivyo visa.
Wahusika kama Ibrahimu, Yakobo, Yusufu, Musa, Daudi, Suleiman n.k

2. Kaiba baadhi ya visa vya wahusika HAO na kuwaweka kwenye Quran yake.
Ila kafanya modification/Forgery ili ionekane kashushiwa.

Nikakujibu hiyo hoja yako no 1 kuwa sio kweli Quran ni ufunuo na ushahidi huu apa

Quran 3:44.
Hizi ni khabari za ghaibu tunazo kufunulia; nawe hukuwa nao walipo kuwa wakitupa kalamu zao nani wao atamlea Maryamu, na hukuwa nao walipo kuwa wakishindana.

Na hiyo hoja yako no 2 nimekujibu kwa kukupa andiko hapo chini kuwa Kuna miujiza Yesu aliifamya wa kuumba ndege kwa udongo katika hizi Injili zenu Zilizoandikwa na waganga wa kienyeji akina Luka hakuna

Sasa je alikopi wapi huo muujiza wa ndege?

Quran 3:49.
Na ni Mtume kwa Wana wa Israili kuwaambia: Mimi nimekujieni na Ishara kutoka kwa Mola Mlezi wenu, ya kwamba nakuundieni kwa udongo kama sura ya ndege. Kisha nampuliza anakuwa ndege kwa idhini ya Mwenyezi Mungu.

Alafu eti unasema nilichokijibu ni tofauti na ulichosema hivi wewe sio Tahira kweli maana isiwe tunaongea na matahira humu
 
Sura ya MWISHO aliandika JOSHUA mwana wa Nuni aliyekuja kuwaongoza Wa Israel Baada ya Musa, na kaandika pia Kitabu Cha Joshua
Kuna vitu vimeelezewa katika hali ambayo vimeshatokea(past tense) ila hali havikuwepo wakati ambao Musa hadi Joshua wakiwa hai, ni vitu ambavyo vimekuja kutokea baada ya Musa na huyo Joshua hawapo.

Kwahiyo huyo Joshua unamyetaja nae haondoi huu utata.
 
Vitaje
 
Ila kumbuka biblia kama biblia imekuja baada ya kuondoka Yesu hivyo mtu anayejinasibisha na kujisifu na biblia akumbuke hilo, na kwa mtazamo wangu mimi sioni hata kama biblia inafaa kushindanishwa na Qur'an.
 
Ila kumbuka biblia kama biblia imekuja baada ya kuondoka Yesu hivyo mtu anayejinasibisha na kujisifu na biblia akumbuke hilo, na kwa mtazamo wangu mimi sioni hata kama biblia inafaa kushindanishwa na Qur'an.

Kisa cha Yesu ndio kimewekwa baada ya Yesu kuondoka.
Lakini vitabu vingine hata Yesu alivitumia katika mahubiri take, na alivisoma kwenye madhahabu.
 
Hivi unajua kwamba watu wengi waliyozungumziwa kwenye biblia hawatambuliki uhalisia wa kuwahi kuwepo kwao duniani katika historia ya dunia?

Unalijua hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…