Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuwekea hiki kitabu kinajibu swali hili. Ninaki attach chini. Kisome.Kiranga tusaidie kujibu haya maswali.
Haya mkuu tuambie ni akili gani kubwa ilitumika kuandika UUMBAJI kwenye Bibilia ukilinganisha na Dunia tuijuavyo inayojizungusha kwenye muhimili wake na kuzunguka jua hadi tunapata usiku na mchana na majira ya mwakaNi kweli Biblia inaanza na habari za nyoka kuongea na siyo habari za uumbaji?
Wewe kuongea ni kupi? Unajua siku hizi Kuna kompyuta zinazoweza kutenda jambo kwa mtu kuziangalia tu?
Maana yangu njia za kuongea zipo nyingi tu si lazima iwe kwa kutamka maneno.
Wasomaji wa kale walipendekeza"ancient readers suggested" Kwa kiswahili ingeandikwaje?
Kwa ivo mapendekezo ya hao wasomaji wa kale tunaweza kujua ni sahihi Kwa asilimia ngapi?W
Wasomaji wa kale walipendekeza
Sijaelewa hili swali unakusudia nini?Haya mkuu tuambie ni akili gani kubwa ilitumika kuandika UUMBAJI kwenye Bibilia ukilinganisha na Dunia tuijuavyo inayojizungusha kwenye muhimili wake na kuzunguka jua hadi tunapata usiku na mchana na majira ya mwaka
Au na wewe unaamini dunia ni FLAT? 😂
Mkuu Bibilia sio MAANDISHI bali ni SIMULIZI zilizopo kwenye haya maandishi.........issue ni chanzo cha hayo maandishi/simuliziKwani aliyetunga herufi na namba ni nani?
Biblia imechapishwa kwenye material ambayo ni karatasi na imechapwa kwa mashine.
Kwa uwezo wangu huu mdogo wa kufikiria napata jawabu kwamba, biblia ilitingwa baada ya teknolojia ya mashine ya karatasi kuvumbuliwa.
Kabla ya hiyo teknolojia, hayo maandiko yalikua wapi?
Umekwepa hoja mkuuSijaelewa hili swali unakusudia nini?
Mkuu ancient ni neno linatumika zaidi kwenye watu wa kale ambao walianza kutumiaKwa ivo mapendekezo ya hao wasomaji wa kale tunaweza kujua ni sahihi Kwa asilimia ngapi?
Pia hiyo kale ni lini hasa na hayo mapendekezo yao yalitunzajwe mpaka kujua hayakupindishwa njiani kabla ya sisi kuyajua?
Hoja yako inataka kusema zama za Yesu Kristo kulikuwa hakuna uandishi na utunzaji wa maandiko?Mkuu ancient ni neno linatumika zaidi kwenye watu wa kale ambao walianza kutumia
maandishi
Kumbuka Simulizi hizi za Bibilia zilianza kwa simulizi za mdomo kutoka kizazi hadi kizazi kabla hazijawekwa kwenye maandishi
Enzi hizo za wanazuoni wasomi wa maandishi baada ya Bibilia kuwawekwa kwenye maandishi ndio waliopendekeza kitabu fulani kitakua kimeendikwa na fulani
Kuhusu USAHIHI..... HAUPO
Kihistoria maandishi yalikua tayari yapo enzi za YesuHoja yako inataka kusema zama za Yesu Kristo kulikuwa hakuna uandishi na utunzaji wa maandiko?
Kwa ivo inawezekana sehemu kubwa ya injili (Again jipya) imetokana na maandishi ya enzi baada tu ya Yesu kusulubiwa.Kihistoria maandishi yalikua tayari yapo enzi za Yesu