Kama binadamu aliumbwa kwa 100% je, ilikuwaje mwaafrika akawa mtu mweusi?

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,916
Na alifikaje afrika kutoka bustani ya edeni?

Na ilikuwaje hadi mzungu mwarabu walikuja kumwambia muafrika mungu yupo wakati huo wote walitoka sehemu moja?

Na ilikuwaje mungu kila mtu anamuita kwa jina lake na wakati huo aliye waumba ni mmoja na jina lake alifahamika kwa jina moja toka alivyo waumba?
 
Hivi mkuu unadhani binadamu ni jiwe hadi asitembee? Au umesahau kwamba moja ya sifa kuu ya mamalia ni kutembea (MOVEMENT) ??

Kingine unachodanganywa kwamba Mwafrika alikuwa hajui Mungu usipende kukiamini. Ukristo umeingia Egypt, Nubia, Sheba, Libya na Timbuktu hata kabla ya kufika Ulaya.

Na hapo kwenye lugha hujiulizi kwanini Kichagga cha Kibosho na Machame kinatofautiana kwenye baadhi ya vitu, japo bado kinakuwa ni Kichagga?
Umesahau kwamba hata Kiswahili kina Lahaja zake. Kuna Kipemba, Kiunguja, Kimrina na Kimtang'atwa lakini bado ni Kiswahili?

The primary Essence of Language is to facilitate communication that enables human understanding of the basic concepts of life. Aesthetic role just adds Ingredients to it.
 
POLE SANA KAMA UMESHINDWA KUJUA JAMBO HILI,JIBU LA HILI HATA KAMA WEWE NI MKIRISTO SOMA SURAT AL-JATHIYA kuanzia mwanzo mpaka mwisho utapata jibu la swali lako na mambo mengine mengi sana
 
QURAN;
49;13 “Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari”.

45;3 Hakika katika mbingu na ardhi ziko Ishara kwa Waumini.

45;4 Na katika umbo lenu na katika wanyama alio watawanya zimo Ishara kwa watu wenye yakini.
57;27 Tena tukafuatisha nyuma yao Mitume wengine, na tukamfuatisha Isa bin Mariamu, na tukampa Injili. Na tukajaalia katika nyoyo za walio mfuata upole na rehema. Na umonaki (utawa wa mapadri) wameuzua wao. Sisi hatukuwaandikia hayo, ila kutafuta radhi za Mwenyezi Mungu. Lakini hawakuufuata inavyo takiwa kuufuata. Basi wale walio amini katika wao tuliwapa ujira wao. Na wengi wao ni wapotovu
 
Dini ni utapeli ulioanzishwa na matapeli ili kutapeli walala hoi wasiyo wadadisi wa yanayowahusu.
WE SUBIRI SIKU YAKO YA KUFA IKIFIKA NDIO UTAJUA KAMA UTAPELI AU SIO UTAPELI ILA NAKUSHAURI KWAKUA WEWE NI MWANASAYANSI IANDAE THEORY YAKO MAPEMA AMBAYO ITAKUSAIDIA USIFE MAANA NYINYI WANASAYANSI MNA AKILI NYINGI SANA
 
maswali mepesi sana hayo mkuu..nami ngoja nikuulize moja tu. bustani ya Eden iko wapi?nipe exact Geographical location
 
1473411732634.jpg
 
maswali mepesi sana hayo mkuu..nami ngoja nikuulize moja tu. bustani ya Eden iko wapi?nipe exact Geographical location
Wasnasema bustani ya edeni ipo Iraq lakini naye babu wa loliondo amewahi kuja na utabiri wake kwamba roho mtakatifu alimuambia bustani ya edeni ilikua
Ipo ngolongoro.

Na tunashindwa kuwaelewa kila mtu anaongea anavyo jua yeye wakati huo mungu wenu ni mmoja.
 
Hivi mkuu unadhani binadamu ni jiwe hadi asitembee? Au umesahau kwamba moja ya sifa kuu ya mamalia ni kutembea (MOVEMENT) ??

Kingine unachodanganywa kwamba Mwafrika alikuwa hajui Mungu usipende kukiamini. Ukristo umeingia Egypt, Nubia, Sheba, Libya na Timbuktu hata kabla ya kufika Ulaya.

Na hapo kwenye lugha hujiulizi kwanini Kichagga cha Kibosho na Machame kinatofautiana kwenye baadhi ya vitu, japo bado kinakuwa ni Kichagga?
Umesahau kwamba hata Kiswahili kina Lahaja zake. Kuna Kipemba, Kiunguja, Kimrina na Kimtang'atwa lakini bado ni Kiswahili?

The primary Essence of Language is to facilitate communication that enables human understanding of the basic concepts of life. Aesthetic role just adds Ingredients to it.
Alitembeaje kuja afrika na kwanini watu weusi hakubakia hata mmoja ktk bustani ya edeni?
 
Kwanini useme muafrika alitokeaje Na usiseme Mzungu au mwarabu alitokeaje??
Mungu alimuumba mwanadamu akiwa mweusi hao wazungu Na sijui wahindi waarabu sijui walitokeaje kwakweli!!
 
QURAN;
49;13 “Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari”.

45;3 Hakika katika mbingu na ardhi ziko Ishara kwa Waumini.

45;4 Na katika umbo lenu na katika wanyama alio watawanya zimo Ishara kwa watu wenye yakini.
57;27 Tena tukafuatisha nyuma yao Mitume wengine, na tukamfuatisha Isa bin Mariamu, na tukampa Injili. Na tukajaalia katika nyoyo za walio mfuata upole na rehema. Na umonaki (utawa wa mapadri) wameuzua wao. Sisi hatukuwaandikia hayo, ila kutafuta radhi za Mwenyezi Mungu. Lakini hawakuufuata inavyo takiwa kuufuata. Basi wale walio amini katika wao tuliwapa ujira wao. Na wengi wao ni wapotovu

Acha na na habari ya Koran na Biblia, hakuna amjibu. Ni maneno yasiyo na uthibitisho
 
Back
Top Bottom