Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji102]Ukiangalia hilo kutokea upande wa dini za kuletwa huwezi kupata jibu. Liangalie kutokea upande wa sayansi.
UsikufuruDini ni utapeli ulioanzishwa na matapeli ili kutapeli walala hoi wasiyo wadadisi wa yanayowahusu.
Kila mtu ana namna ya kudefine jambo flani kulingana na mtazamo wake,....Ukimwuuliza mkikuyu Tanzania ni nini? atakujibu Tanzania ni nchi jirani....swali hilo hilo ukimuliza Mgogo atakujibu Tanzania ni nchi yangu ya kuzaliwa.,....Je kati ya Mkikuyu na Mgogo ni yupi aliyekufuru juu ya Tanzania???Usikufuru
Ya nini kukufuru tena kwa kutoa mfano potofuKila mtu ana namna ya kudefine jambo flani kulingana na mtazamo wake,....Ukimwuuliza mkikuyu Tanzania ni nini? atakujibu Tanzania ni nchi jirani....swali hilo hilo ukimuliza Mgogo atakujibu Tanzania ni nchi yangu ya kuzaliwa.,....Je kati ya Mkikuyu na Mgogo ni yupi aliyekufuru juu ya Tanzania???
JE UNAJUA EDENI IKO WAP?Na alifikaje afrika kutoka bustani ya edeni?
Na ilikuwaje hadi mzungu mwarabu walikuja kumwambia muafrika mungu yupo wakati huo wote walitoka sehemu moja?
Na ilikuwaje mungu kila mtu anamuita kwa jina lake na wakati huo aliye waumba ni mmoja na jina lake alifahamika kwa jina moja toka alivyo waumba?
Jibu swali langu tafadhali,....Kati ya Mkikuyu na Mgogo nani ameikufuru Tanzania?Ya nini kukufuru tena kwa kutoa mfano potofu
YANI WEWE KAMA UKO AKILINI MWANGUmaswali mepesi sana hayo mkuu..nami ngoja nikuulize moja tu. bustani ya Eden iko wapi?nipe exact Geographical location
JE MTU WA KWANZA ALIKUWA MWEUPE AU MWEUSI?Alitembeaje kuja afrika na kwanini watu weusi hakubakia hata mmoja ktk bustani ya edeni?
Swali zuri sana, kwanza achana na stori za waarabu na wazungu, wakitunga tui kumtawala mtu mweusiNa alifikaje afrika kutoka bustani ya edeni?
Na ilikuwaje hadi mzungu mwarabu walikuja kumwambia muafrika mungu yupo wakati huo wote walitoka sehemu moja?
Na ilikuwaje mungu kila mtu anamuita kwa jina lake na wakati huo aliye waumba ni mmoja na jina lake alifahamika kwa jina moja toka alivyo waumba?
Ndo ujue sasa Kat ya hivyo kna kimoja tunadanganywa kwa sabab flan flaniHuwezi changanya mambo ya dini, historia na sayansi sehemu moja.
Huyo binadam wa kwanza aliwezaje kuvuka mipaka ya mabara?? Au alikuwa Na mabawa??Swali zuri sana, kwanza achana na stori za waarabu na wazungu, wakitunga tui kumtawala mtu mweusi
Binadamu wa kwanza kabisa ni mtu mweusi, ambaye alikuwa ana asili ya nyani huyu aliitwa Australopithecus afarensis alihamia maeneo mbali mbali ya Asia na Ulaya akitoka East Afrika kwenda Ethiopia ndo aka vuka mabara mengine. na kubadilika kutokana na mazingira na hali ya hewa.
Nimelipenda jibu lako Kwasababu umelijibu kisayansi.Swali zuri sana, kwanza achana na stori za waarabu na wazungu, wakitunga tui kumtawala mtu mweusi
Binadamu wa kwanza kabisa ni mtu mweusi, ambaye alikuwa ana asili ya nyani huyu aliitwa Australopithecus afarensis alihamia maeneo mbali mbali ya Asia na Ulaya akitoka East Afrika kwenda Ethiopia ndo aka vuka mabara mengine. na kubadilika kutokana na mazingira na hali ya hewa.
Soma biblia mkuu. Yote yameandikwa ktk kitabu cha mwanzo. Baada ya kutenda kosa Mungu aliwaondoa Adam na Hawa kutoka ktk bustani ya EdenKwahiyo unataka kuniambia bustani ya edeni hakuna mtu anaye ishi?