Kama binadamu aliumbwa kwa 100% je, ilikuwaje mwaafrika akawa mtu mweusi?

Kama binadamu aliumbwa kwa 100% Je ilikuaje mwafrika akawa mtu mweusi JIBU NDANI YA SWALI NANI ALIEKWAMBIA KUWA 100% NI NYEUPE
 
inawezekana adamu na Hawa walizaa watoto wa rangi zote ambao nao wanaweza kuzaa watoto wa rangi mbalimbali. kutokana na ubaguzi watu wa rangi moja wakawa wanaoana wao kwa wao hadi kupoteza uwezo wa kuzaa watu wa ranngi mbalimbali.
 
Huwezi changanya mambo ya dini, historia na sayansi sehemu moja.
 
Usikufuru
Kila mtu ana namna ya kudefine jambo flani kulingana na mtazamo wake,....Ukimwuuliza mkikuyu Tanzania ni nini? atakujibu Tanzania ni nchi jirani....swali hilo hilo ukimuliza Mgogo atakujibu Tanzania ni nchi yangu ya kuzaliwa.,....Je kati ya Mkikuyu na Mgogo ni yupi aliyekufuru juu ya Tanzania???
 
Ya nini kukufuru tena kwa kutoa mfano potofu
 
JE UNAJUA EDENI IKO WAP?
 
Swali zuri sana, kwanza achana na stori za waarabu na wazungu, wakitunga tui kumtawala mtu mweusi

Binadamu wa kwanza kabisa ni mtu mweusi, ambaye alikuwa ana asili ya nyani huyu aliitwa Australopithecus afarensis alihamia maeneo mbali mbali ya Asia na Ulaya akitoka East Afrika kwenda Ethiopia ndo aka vuka mabara mengine. na kubadilika kutokana na mazingira na hali ya hewa.
 
nani aliekwambia asili ya binadam wa kwanza ni mweupe( mzungu)
 
Huyo binadam wa kwanza aliwezaje kuvuka mipaka ya mabara?? Au alikuwa Na mabawa??
 
Nimelipenda jibu lako Kwasababu umelijibu kisayansi.
 
nani aliekwambia asili ya binadam wa kwanza ni mweupe( mzungu)
Watu walio tuletea dini ndio wanasema hivyo.
Lakini mm siwaamini naona walikuwa ni wasanii.
 
Hali ya hewa. Kila mtu alibadilika kulingana na hali ya hewa ya alipo. Angalia wa njombe na wa pwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…