Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

Mie nijuavyo ni kuwa adam na hawa (eva) walikuwa wakizaa watoto wawili mmoja wa kiume na mwengine wa kike asubuhi na jioni.....

Baina hiyo ya asubuh na jioni ni sawa na miaka 1000 ya sasa....

Walikua wakizaliwa makabila (mataifa) tofauti

Na mtoto wa kiume aliezaliwa asubuh anamuoa mtoto wa kike aliezaliwa jioni na wa kike anaolewa na mtoto wa kiume aliezaliwa asubuh...

Lengo kuu hapo lilikua kukuza ulimwengu

Miongoni mwa watoto hao ndio habil (abel) na qabil (cain)

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

hii nayo ni theory mpya
 
It would be better if these anserine humans would be color-blind.
 

50 cent, Ballotel, Akon, Lil wayne na wengineo wengi waliozaliwa na kuishi huko kwenye baridi kali wangebadilika endapo hii nadharia uliyoieleza ingekuwa hai.
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?
katika vitu ambavyo dini imeshindwa kuthibitisha kabisa ni ukweli kuhusu mwanadamu wa kwanza...historia ya dini inasema kwamba Adam alizaa watoto 2 kwanza ambao ni Kaini na Abel, Kaini akamuua Abeli na kulaaniwa , akafukuzwa kutoka ukoo wa Adam na kuhamia mbali ambapo ndipo alipoanzisha familia ya wafua vyuma wa kwanza duniani(blacksmiths) swali ni vipi alianzisha familia hiyo wakati huo hapakuwa na watu wengine zaidi ya Adamu, Eva kama mwanamke pekee, na kaini baada ya kifo cha Abel..

Kama alikoenda alikutana na watu na kuanzisha familia hiyo..watu hao waliumba na nani na lini? Je huoni kwamba kuna uwezekano mkubwa sana kwamba Adamu na Eva sio wanadam wa Kwanza.
 
50 cent, Ballotel, Akon, Lil wayne na wengineo wengi waliozaliwa na kuishi huko kwenye baridi kali wangebadilika endapo hii nadharia uliyoieleza ingekuwa hai.
Hawabadiliki kama unavofikiria wewe, factors ni nyingi sana, kwa mtu ambaye hajasoma evolution au genetics hili hawezi kulielewa linatokea vipi, naweza nikajaribu kukueleza tusielewane kama hii field uliikimbia ila nlichosema ni right na ni kitu scientificalky proven.. hutokuwepo lakini miaka mingi from now binadamu hawatokua hivi walivo sasa.. bado tunabadilika
 

Ndg.. Hakutakuwa na mabadiliko yoyote makubwa unayodhania,hawa wanasayansi kuna baadhi wameweza kuthibitisha lakini mengine hawajaweza na hii ni sawa na ile kurefuka kwa shingo la Twiga eti sababu anakula majani yaliyo juu katikati ya mti wakati akizaliwa mtoto anakuwa na umbile hilohilo la shingo kuwa ndefu(kala muda gani huyu).

Vipi kuhusu waarabu Libya, Misri, Kuwait, Iran miaka nenda rudi wanapigwa na jua kuliko sisi fika South Africa -Port Elizabeth pale ambapo barafu inadondoka miaka dahali kabla hata hao wazungu hawategemei kuja walikuwepo wenyeji ambao ni weusi kama mimi mpaka leo. Amini usiamini hii nadharia ni mfu.
 
 
 
you are right.
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?

Wewe ni Mungo sana, tena hufai kabisa wewe.

Niletee ushaidi wa rangi ya mtu wa kwanza kutoka hivyo vitabu vya dini unavyo visingizia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…