Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?

Lakini pia hakuwa mzungu, nini kilitokea pia kutoka kizaz cha Middle East na kupatikana Wazungu, Waafrika na Wachina/Wahindi/ Wajapan/Wakorea?
 
Nadhani hapa la kuongelea ni kuuliza kuhusu kizazi cha nuhu kulivyogawanyika baada ya gharika.
 
am profeseri!!/ktk my readings of years ago! dunia ilikuwapo na viumbe wote walikuwapo although ktk survival baadhi ya viumbe waliweza kutoweka lkn binadamu kwa rangi zao na asili zao walikuwepo kama viumbe vya sayari hii! dini za mwanzo pia zilikuwepo kwa wakati huo na aliabudiwa father "sigil"the great evolution ilizidi kuendelea huku watu wakizidi kuamka na kupambazuka interception religion zikizidi kujitokeza ukrist mara hindu mara islamu which are so recently religion/pia baadhi ya sign na alama za diini zetu za sasa zimetoka kwa father sigil km nyota mwezi msalaba double keys inaendelea......[/QUOTE hujajibu swali, soma mada toa jibu husika!!
 
1.mimi nina amini kuwa mwanadamu wa kwanza alikuwa mweusi sababu ukisoma maandio utaona mungu alifinyanga udongo kisha akapulizia pumnzi ndio mwanadamu aka kama alivyo sasa jiulize udogo ni rangi gani utapata jibu

2. watu weupe wametokana na kizazi cha kaini baada ya kumuua ndugu yake mungu alimlaani na kupigwa chapa ya muhuri ambayo ndio ngozi nyeupe, (ukirudi nyuma utangundua nyoka/ shetani aliwadanganya wakila tunda basi watajua mema na mabaya maana ake watakuwa na akili nyingi) ndio maana ngozi nyeupe ni werevu zaidi yetu sisi weusi.

Nb: Ndio maana wanasema fuvu la mtu wa kwanza limepatikana ngorongoro
ndugu yangu mbona wajichanganya tena........mtu wa kwanza umesema alikuwa mweusi kutokana na udongo( ukumbuke pia kuna udongo mwekundu)
sasa tena wasema hao weupe wametokana na kizazi cha kaini...tena wasema shetani aliwadanganya wakala tunda so wana akili sana......but kumbuka mtu wa kwanza ni adamu na amekula tunda so adam ni mweusi au? Mbna hatuko na akili nyingi
 
Mtu wa kwanza alikuwa mweusi wala dunia haikuwa na mtu mweupe isipokua watu weupe walianzia hapa, wana wa mungu walichungulia duniani wakawaona binti za wanadamu wakawatamani wakashuka wakazini nao,
wakazaliwa manefili watu warefu magiant na wenye akili sana. Ndo hapo alipatikana mtu mweupe ila kwanini mzungu, muhindi, mwarabu hapo ndo sijui ila white people ni nefili.
 
Kwa swala laevolution hatupat jibu kamili kwa kuwa tukiangalia ulaya mbona kuna watu weusi wamezaliwa kule na bado rangi yao ni nyeusi tu au tukiangalia maeneo mbalimbali ya ulaya na asia mbona kuna joto na bado kuna wazungu.
 
Tumeumbwa rangi tofauti ili tuweze kujitofautisha...
 
So unaamini at first binadamu alikua mweupe lakini mazingira/climate yakafanya watu wakawa weusi brown etc basi kama ivo tungekua tukizaa watoto at first wawe weupe then mazingira yawafanye weusi coz kama mtu umebadilishwa na mazingira/climate gene yako bado nyeupe, so i beg to disagree wit day buddy!

Ulishawahi kuona mtoto anazaliwa akiwa mweusi?
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?

Sasa kama hivyo vitabu vyote wameandika hao weupe ulitegemea waandike adam alikua mweusi?

Hata hizo story za adam hatujui kama za kweli au uongo sababu ni hao hao wanatuambia binadamu alikua nyani na akabadilika mpaka kua binadamu. Hao hao weupe wanatuambia fuvu la binadamu wa kwanza limeonekana afrika.

Hao hao wanamuita muafrika nyani ambae ni chanzo cha binadamu
Muhimu hapa ni kujiongeza tu akili kichwani kwako
 
mi naamini kuna muumba. lakini uumbaji na sababu za uumbaji ni siri.
dini ni kulazimisha kuelewa siri hiyo.

theory ninayoipenda sisi, wadudu na wanyama wengine wote tulitolka kwenye sayari nyingine... tukiwa na program ya kuja kuzaliana hapa kwenye sayari hii.

dini ni jitihada za kuelewa siri ya tulikotoka. kwa hiyo kwangu mimi swali kubwa ni kwa nini safari ya kutuleta huku haikuruhusu blue print ya kule tulikotoka? dini tunakisiakisia tu jibu ndo maana ziko dini lukuki

na hapo kwenye maswali yako ndipo tunarudi kule kule kwa kutokufahamu tunachokifahamu leo..................cjui nimeeleweka?
 
Kuna watu wanaamini kwamba Watu wa kwanza kuumbwa walikuwa ni Adam na Lilit. Lilit akagoma kuwa chini ya Adam akaondoka kwa Adam. Hapo ndipo akaletwa Eve/Hawa. Wanaamini Kaini alikokwenda alikutana na Lilit wakaendeleza kizazi chao cha watu wao.

Pump them knowledge out
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?

inasikitisha sana, yaani unahoji uwezo wa Mungu kwa kitu kidogo kama hiki? Kama binadamu tu ameweza kutengeneza mkorogo itakuwa kwa Mungu muweza wa yote???
 
ushahidi narudia tena USHAHIDI uliopo ni kuwa binadamu wa kale kabisa akiishi afrika, nchi ya watu weusi.

Porojo inayolipa sana (dini) inapendekeza mwanadamu wa awali ni mweupe!!!!!!!!!!
 
[

na hapo kwenye maswali yako ndipo tunarudi kule kule kwa kutokufahamu tunachokifahamu leo..................cjui nimeeleweka?


kutokufahamu tunachokifahamu leo ndiko kunalazimisha tuishi kwa kukisia-kisia ukweli tukidhani ndo ukweli wenyewe kutumia dini. maneno kama prophecy na kuoteshwa vifungu ni lugha za kulazimisha ukweli nionanvyo mimi.
 
Back
Top Bottom