Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?

Lakini pia hakuwa mzungu, nini kilitokea pia kutoka kizaz cha Middle East na kupatikana Wazungu, Waafrika na Wachina/Wahindi/ Wajapan/Wakorea?
 
Nadhani hapa la kuongelea ni kuuliza kuhusu kizazi cha nuhu kulivyogawanyika baada ya gharika.
 
 
ndugu yangu mbona wajichanganya tena........mtu wa kwanza umesema alikuwa mweusi kutokana na udongo( ukumbuke pia kuna udongo mwekundu)
sasa tena wasema hao weupe wametokana na kizazi cha kaini...tena wasema shetani aliwadanganya wakala tunda so wana akili sana......but kumbuka mtu wa kwanza ni adamu na amekula tunda so adam ni mweusi au? Mbna hatuko na akili nyingi
 
Mtu wa kwanza alikuwa mweusi wala dunia haikuwa na mtu mweupe isipokua watu weupe walianzia hapa, wana wa mungu walichungulia duniani wakawaona binti za wanadamu wakawatamani wakashuka wakazini nao,
wakazaliwa manefili watu warefu magiant na wenye akili sana. Ndo hapo alipatikana mtu mweupe ila kwanini mzungu, muhindi, mwarabu hapo ndo sijui ila white people ni nefili.
 
Kwa swala laevolution hatupat jibu kamili kwa kuwa tukiangalia ulaya mbona kuna watu weusi wamezaliwa kule na bado rangi yao ni nyeusi tu au tukiangalia maeneo mbalimbali ya ulaya na asia mbona kuna joto na bado kuna wazungu.
 
Tumeumbwa rangi tofauti ili tuweze kujitofautisha...
 

Ulishawahi kuona mtoto anazaliwa akiwa mweusi?
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?

Sasa kama hivyo vitabu vyote wameandika hao weupe ulitegemea waandike adam alikua mweusi?

Hata hizo story za adam hatujui kama za kweli au uongo sababu ni hao hao wanatuambia binadamu alikua nyani na akabadilika mpaka kua binadamu. Hao hao weupe wanatuambia fuvu la binadamu wa kwanza limeonekana afrika.

Hao hao wanamuita muafrika nyani ambae ni chanzo cha binadamu
Muhimu hapa ni kujiongeza tu akili kichwani kwako
 
 
Kuna watu wanaamini kwamba Watu wa kwanza kuumbwa walikuwa ni Adam na Lilit. Lilit akagoma kuwa chini ya Adam akaondoka kwa Adam. Hapo ndipo akaletwa Eve/Hawa. Wanaamini Kaini alikokwenda alikutana na Lilit wakaendeleza kizazi chao cha watu wao.

Pump them knowledge out
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?

inasikitisha sana, yaani unahoji uwezo wa Mungu kwa kitu kidogo kama hiki? Kama binadamu tu ameweza kutengeneza mkorogo itakuwa kwa Mungu muweza wa yote???
 
ushahidi narudia tena USHAHIDI uliopo ni kuwa binadamu wa kale kabisa akiishi afrika, nchi ya watu weusi.

Porojo inayolipa sana (dini) inapendekeza mwanadamu wa awali ni mweupe!!!!!!!!!!
 
[

na hapo kwenye maswali yako ndipo tunarudi kule kule kwa kutokufahamu tunachokifahamu leo..................cjui nimeeleweka?


kutokufahamu tunachokifahamu leo ndiko kunalazimisha tuishi kwa kukisia-kisia ukweli tukidhani ndo ukweli wenyewe kutumia dini. maneno kama prophecy na kuoteshwa vifungu ni lugha za kulazimisha ukweli nionanvyo mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…